Happy birthday Park Shin Hye.
Jana ilikua tarehe 18 February ilikua ni tarehe ya kuzaliwa kwake Muigizaji Maarufu wa kike wa kikorea aitwaye Park Shin Hye.
HISTORIA YAKE KIUFUPI.
Amezaliwa mwaka 1990,February, 18 mpaka sasa Ana miaka 27,ambapo alitimiza Jana.
Alipozaliwa South Korea na anapoishi mpaka sasa.
TUZO ALIZOBEBA NI NYINGI ILA NAOLOZESHA CHACHE TU.
Tuzo ya kwanza kuchukua au kushinda inaitwa:
SBS Drama Awards mwaka 2003 alishinda kama Best Young Actress.
Tuzo ya pili.
Ilikua mwaka 2007.
Alishinda tuzo za MBC Enternment kama Best Newcomer in Female Variety Show.
Na nyingine mwaka huo huo alishinda kama Muigizaji bora wa kike anayechipukia(Best New Actress) katika Tuzo za MBC drama awards.
Hapa akiojiwa katika kipindi cha "Star Talk" chaneli name Hong Kong TV J2.
DRAMA ALIZOIGIZA NI PAMOJA NA:
-stairway to Heaven
-Doctor Crush
-Pinocchio
Na nyengine nyingi.
WEBSITE YAKE.
박신혜 - S.A.L.T.(솔트) 엔터테인먼트
PARK SHIN HYE.
Hayo mengi na machache kuhusu
Park Shin hye Happy Birthday!!!