Hii Ngoma wakati naiangalia ilinichosha kutokana na urefu wake ila sikukoma kutokana na utamu wake ilikuwa ndio series yangu ya kwanza. Kuna kipindi nilitamani nilitamani niweke screen kwenye dari ili niwe naandalia nimelala maana kiuno kilikuwa kinauma shauri ya kukaa.Umenikumbusha hizi moments ..
Lady Jungwa & Yum_moon
View attachment 2409561Halafu akashindilia msumari wa mwisho kikatili mno ,Mwanangu Yum_moon the Pirate haijawahi kupenda chochote zaidi ya huyo manzi.View attachment 2409566
Wakati huyu huzuni kwengine furaha General Hae_mosu alivyokutana na Lady Yuhwa kea mara ya kwanza baada ya mika 20 huku ikidhaniwa General ameshafariki .Mambo yalikuwa mazuri sana kwa upande wao.View attachment 2409574
nimechungulia nikafanikiwa kumuona moonbyul wa mamamoo,Variety show -Second world
andaa simulizi tusome.....Ila naishukuru hii series ilinipatia mpenzi wa nguvu
nimechungulia nikafanikiwa kumuona moonbyul wa mamamoo,
nilidhani huyu binti ni rapper tu.
kumbe ni vocal wa kiwango cha juu.
wakorea wanashangaza sana
Niwawekee hapa au niifungulie Uzi?andaa simulizi tusome.....
tutalipia hela ya chai
Wengi ni multi talented that's why huwa wananidatisha sana!nimechungulia nikafanikiwa kumuona moonbyul wa mamamoo,
nilidhani huyu binti ni rapper tu.
kumbe ni vocal wa kiwango cha juu.
wakorea wanashangaza sana
Wamekulia kwenye mazingira yanayojua kulea vipaji.nimechungulia nikafanikiwa kumuona moonbyul wa mamamoo,
nilidhani huyu binti ni rapper tu.
kumbe ni vocal wa kiwango cha juu.
wakorea wanashangaza sana
Hizi zote ni balaa ila walijitahidi kucheza ni hizo mbili za chini.Mazombi ya kikorea ni hatari
Train to busan
All of us are dead
Kingdom
Kuna pini nyingine za mazombi?
Hajazeeka tu?Naona yule DA-ESO wa Jumong karudi kwenye UNDER THE QUEEN'S UMBRELLA
Kawa mtu mzima kidogo.
banter
kuna mbunge anaitwa sereweji, laptop yake amejaza season za wakorea kuliko nyaraka za mipango mikakati ya jimboni kwake gamboshi.
mtafute hapo dodoma, mke wake analalamika tokea apewe gari ya millioni 50 ameshindwa kurejea kwao mwanakwerekwe
Za masiku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]My healing love
Za masiku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Napataje kamseleleko jamani hizi bundle wengine tunapoteana sio polepole
Ha tunnel ilinigomea kabisa, kuna mpya?
Thank You [emoji4]Salama my dear. ngoja nije Pm
Hii hadi nimeanza kuisahau kabisa.Wazee wa Alchemy Of Souls mwezi mmoja umebaki tukatambeView attachment 2412294
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Nipo best..mambo yamepandana tu