Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

gwenchanayo

 
anaitwa jang hyuk ameigiza drama mpya inaitwa the voice ambayo mpaka 1/3/2017 ni episode 11 tu zimeonyeshwa amebeba uhusika mkuu kama ni detectives mbishi ina martial arts


pia jamaa ameigiza movie mpya inaitwa ordinary people

Hii nitaidownload maana jamaa anajua sana
 
Wakuu kuna drama mpya ya kikorea iliotoka yenye mahadhari ya kijijini?
Rebel: Thief Who Stole the People
inazungumzia maisha ya HONG GIL DONG, muigizaji mkuu ni KIM SANG JOONG ambaye anacheza uhusika wa baba wa hong gil dong na YOON GYUN SANG ambaye ndie hong gil dong. kwenye six flyng dragons amecheza kama muhyool na kama uliangalia FAITH alicheza kama deokman

 
Wakuu kuna drama mpya ya kikorea iliotoka yenye mahadhari ya kijijini?
Saimdang, Light's Diary
ni drama inayozungumzia maisha ya SHIN SAIMDANG ambaye alikuwa ni genius artist na msichana ambaye ni passionate lover wakati wa tawala za joseon,baada ya miaka takriban 13 tokea aigize drama yake ya mwisho iliyompa umaarufu mkubwa JEWEL IN THE PALACE mwanadada LEE YOUNG AE ameigiza drama hii akicheza nafasi mbili amabazo ni saimdang na professor wa masuala ya historia na sanaa.
starring
lee young ae, song seung hun

 

Attachments

  • upload_2017-3-3_2-30-3.jpeg
    6.5 KB · Views: 53
Hivi series ya mwendelezo wa Pirates of the Sea inaitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…