Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

[emoji23][emoji23][emoji23] dah [emoji1544] unatamani kuingia kwenye screen kumzibua mtu[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona eeh, kwenye ile drama ndipo Song seung heon aliukamata moyo wangu japo alikuwa ananikeraaa.....
 
Akomae tu muhimu ni kukaza mpaka mwisho
 
Hebu nitajieni series mpya ambayo inahusu mambo ya high school, mapenzi shuleni, ugomvi, bully n.k
Scene za kisses ziwe nyingi sana ila nudity na LGBT visiwepo
 
Hebu nitajieni series mpya ambayo inahusu mambo ya high school, mapenzi shuleni, ugomvi, bully n.k
Scene za kisses ziwe nyingi sana ila nudity na LGBT visiwepo
Nilikuwa nazifikiria baadhi ya kazi nilizoangalia ila sentensi hiyo ya mwisho imenivuruga. Yaan drama inayohusu shule, bullying, halafu iwe na kissing scenes nyingi. Siijui
 
Nilikuwa nazifikiria baadhi ya kazi nilizoangalia ila sentensi hiyo ya mwisho imenivuruga. Yaan drama inayohusu shule, bullying, halafu iwe na kissing scenes nyingi. Siijui
Cobra Kai inahusu karate, mambo ya shule, bully na kisses zipo za kutosha cause high school kuna mapenzi ya kutosha tu
Ondoa hizo kisses, series gani unaijua ipo hivyo hata bila kisses
 
Cobra Kai inahusu karate, mambo ya shule, bully na kisses zipo za kutosha cause high school kuna mapenzi ya kutosha tu
Ondoa hizo kisses, series gani unaijua ipo hivyo hata bila kisses
The Glory
Crash course in romance.
Hizo zote ni mchanganyiko wa shule na watu wazima. Unaweza usipate unachotaka ila naamini utakuwa na mengi ya kujifunza
 
Hawa jamaa nao huwa wako sensitive sana, yani fault kama hiyo ndio imemnyang'anya matongo yote hayo na kumharibia brand yake kiasi hicho? Hiyo faini itamsumbua sana kuilipa.

Kwa nchi za Africa hilo lilikuwa linaisha kama hakuna kitu kiliwahi kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…