Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Japo napenda fantasy ila kokdu season of deity imezidi daah naiona mbovuuu. Nilipenda ilipoanza scene za hosp nikasema hewala nilimiss sana hospital dramas ila kilichoendelea daah
Heri yako wewe uliielewa..Mimi nilipakua episode 2 nikaona sielewi nikafuta. Kumpenda kwangu kote Kim jung hyun nilishindwa
 
Hapo umenigusa ni kama vile uje useme mbele ya inno kuwa innocent defendant ni mbaya. Naipenda sana reply 1988,niliifuta baada ya kuiangalia ila nikaja kuivuta upya. Ni drama pekee ninayoirudia rudia na sijawahi ichoka😂😂😂😂😂
Shida ya drama ukisoma sifa zake nyingi kabla ya kuiangalia lazima utakuwa disappointed. Ni kama mimi Reply 1988...it might not be the case with you guys nimesemea tu kwa uzoefu wangu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona eeh? Ni kama wewe ulivyosema huielewi Yumi's cells...wakati mimi nina mpango wa kuipakua tena siku nikipata device yenye memory kubwa nikae nayo tu
 
Hapo kwenye matamshi..nadhani hasa ndipo lilipo tatizo langu
Upo sahihi japo mimi mwanzo nilikuwa napata tabu kuzitazama maana kwa mkaka 10 iliyopita nimezoea kusikia Kikorea tu masikioni mwangu ila mwaka jana nikaforce taratibu nikaanza kuzipenda kidogo,napenda za Republican Era na Second Sino-Japanese War
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…