Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Niliishia episode ya 3 nikaachana nayo.Dah hivi waliosema Vicenzo nzuri walitumia vigezo gani? Nipo Episode ya 4 naona ina utoto mwingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliishia episode ya 3 nikaachana nayo.Dah hivi waliosema Vicenzo nzuri walitumia vigezo gani? Nipo Episode ya 4 naona ina utoto mwingi
Nakumbuka kipind kile bando la night nilishusha mzigo wote 20 dah nakuja kuitzama nilichoka man
Niliishia episode ya 3 nikaachana nayo.
Uko kama mimi sivutiwi nazo kabisaSijui kwanini sijawahi kuvutiwa kabisa na Chinese drama, sidhani kama nitakuja kuzigusa, ingawa wengi huwa wanasisitiza kuwa ni nzuri.
Heri yako wewe uliielewa..Mimi nilipakua episode 2 nikaona sielewi nikafuta. Kumpenda kwangu kote Kim jung hyun nilishindwaJapo napenda fantasy ila kokdu season of deity imezidi daah naiona mbovuuu. Nilipenda ilipoanza scene za hosp nikasema hewala nilimiss sana hospital dramas ila kilichoendelea daah
Uko kama mimi sivutiwi nazo kabisa
Shida ya drama ukisoma sifa zake nyingi kabla ya kuiangalia lazima utakuwa disappointed. Ni kama mimi Reply 1988...it might not be the case with you guys nimesemea tu kwa uzoefu wanguMimi nimeishia ya 4 ikabidi nitafute series nyingine. Ipo overrated sana ila kila mtu na taste yake.
Hapo kwenye matamshi..nadhani hasa ndipo lilipo tatizo languYani hata matamshi ya lugha yao tu huwa hayanivutii.
Pamoja sana rafiki.
Shida ya drama ukisoma sifa zake nyingi kabla ya kuiangalia lazima utakuwa disappointed. Ni kama mimi Reply 1988...it might not be the case with you guys nimesemea tu kwa uzoefu wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona eeh? Ni kama wewe ulivyosema huielewi Yumi's cells...wakati mimi nina mpango wa kuipakua tena siku nikipata device yenye memory kubwa nikae nayo tuHapo umenigusa ni kama vile uje useme mbele ya inno kuwa innocent defendant ni mbaya. Naipenda sana reply 1988,niliifuta baada ya kuiangalia ila nikaja kuivuta upya. Ni drama pekee ninayoirudia rudia na sijawahi ichoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heri yako wewe uliielewa..Mimi nilipakua episode 2 nikaona sielewi nikafuta. Kumpenda kwangu kote Kim jung hyun nilishindwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona eeh? Ni kama wewe ulivyosema huielewi Yumi's cells...wakati mimi nina mpango wa kuipakua tena siku nikipata device yenye memory kubwa nikae nayo tu
Ulijuaje[emoji23][emoji23]Numbisa is typing[emoji1]
Upo sahihi japo mimi mwanzo nilikuwa napata tabu kuzitazama maana kwa mkaka 10 iliyopita nimezoea kusikia Kikorea tu masikioni mwangu ila mwaka jana nikaforce taratibu nikaanza kuzipenda kidogo,napenda za Republican Era na Second Sino-Japanese WarHapo kwenye matamshi..nadhani hasa ndipo lilipo tatizo langu
Try crash courseNaombeni love story nzuri angalizo isiwe ya kitoto, ina mazingira ya shule na mwisho kabisa isiwe imechezwa na teenager's
Crash course in romance? Huyo hatakagi drama za shuleTry crash course
Mimi niliishia episode 1 tu nikaitupilia mbaliDah hivi waliosema Vicenzo nzuri walitumia vigezo gani? Nipo Episode ya 4 naona ina utoto mwingi
Sipendi drama za shuleTry crash course
Unajikosesha vitu vizuri sana. Kama wewe ni mzazi itakufaa naamini ila kama ndio wale wenzangu na mimi ni kweli haikufaiSipendi drama za shule