Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mi kuna Movie nimeisahau Jina kidogo, humo mzee wa vicheko Jang Hyuk ameact kama Lee bang Won asee movie inamikato ile Hatari na hii ni ya pili kwangu ukitoa ile Frozen Flower yenye maudhui ya kishogaya.
Sikudhani kabisa kama hawa jamaa watafikia huko.
 
Mwamba una tastes za pekee sana[emoji16]

Leo sio mbaya nikupe recommendations kidogo kama hujawahi kuziona

Miss Ripley
Mask
Hotel King
A Thousand Days Promise
Different Dreams
Mad Dog
Investigation Couple
Mkuu shukrani sana kuiyona tu hiyo drama ya mask inanipa Mwanga hii list sio ya kitoto kabisa maana nimeiyona hiyo ya mask tu na ilikuwa ni bonge la drama sasa hapa naona unaanza kunielewa
 
Nasubiria lawama atakazokushushia pale atakapokuta taste zake hajikamilika😂😂😂😂
Hapana kwenye hiyo list aliyonipa kuna Moja nimecheki hiyo "mask" baada ya kuiyona hii nadhani zingine zitakuwa Kali maana ni Moja Kati best drama niliyowahi kuangalia unaingia kwenye top 20 yangu ya drama ya best of all time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…