Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aisee hii Innocent Defendant mbona kali hivi [emoji1487] naona na yule jamaa wa Penthouse yupo, nilikuwa nimeichanganya na drama moja ina jina kama hili siikumbuki vizuri jina.
Mkuu hiyo drama ni noma sana kwangu ndio drama yangu bora ya Muda wote watu tunaojua taste halisi za drama kali mimi ni mmoja wapo, ukitoka hapo cheki nyingine inaitwa "The last" na hiyo "Big mouth" niliyokutajia hautojutia mb zako
 
Reality ya young actors

Team moonlight wamechangamka na kuzoeana fasta kuliko team zingine. Ila drama yake pia tamu sana

Ongoing zinazonipa burudani

Three bold siblings ep 50

The love in your eye ep 118
 
Reality ya young actors

Team moonlight wamechangamka na kuzoeana fasta kuliko team zingine. Ila drama yake pia tamu sana

Ongoing zinazonipa burudani

Three bold siblings ep 50

The love in your eye ep 118
Yah wana vibe wote wamekutana waongeaji sana ila Kim Yoo Jung ukimuona kama innocent flani akianza kuongea Mzaramo haoni ndani.
 
Mkuu hiyo drama ni noma sana kwangu ndio drama yangu bora ya Muda wote watu tunaojua taste halisi za drama kali mimi ni mmoja wapo, ukitoka hapo cheki nyingine inaitwa "The last" na hiyo "Big mouth" niliyokutajia hautojutia mb zako

The Last nimeicheki mwaka jana kuna mdau alirecommend humu. Nilienjoy episode za mwanzo ila baadae iliniboa maana niliona ilitakiwa iwe kali zaidi ya pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…