Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hizi kissing scenes za drama za sikuhizi niliona knetizens wakisema kwamba ML wengi hawapo comfortable pia...
Wadada wengi wananyanyasika wakati wanashoot hizi scene.
Kissing scenes zimezidi sana sikuhizi tofauti na za kitambo hakuna ku sexisha sana actors
BTW love to hate you ilikuwa best
 
Sema kiss za zamani walikuwa wanagusishana lips tu miaka ya 2005-2012.

Now ni kiss nzito hadi najiulizaga kama wanayonyana lips na ndimi.kweli[emoji23]

Sema ukifuatilia mkasa wa Kim Jung Hyun na Seohyun kwenye drama ya Time utaelewa why mastaa wanakatazwa kudate ili wasiharibu kazi zao
 
Kwa kweli watu wanaodate mastaa wana kazi sana mimi siwezi [emoji16][emoji16]
 
Wakatazwa kudate au wanakatazwa kudate na mastar wenzao?

Sijaelewa hapo.
 
Hizi kiss za sahivi ni real kabisa sometimes mpk sauti za mgusano wa midomo zinatoka,yaani kissing scene dk1 na nusu kweli[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…