Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Huyu dada huwa anasifiwa sana ila mimi sioni kama ni mzuri kihivyoo [emoji16][emoji16] anyway nawaachia wenyewe mlishasema siwezi kuona mnachoona ninyi
Dah aisee hizi tastes hatari nafuu umejitetea mapema[emoji23][emoji23]

Please waigizaji wote wa kike mtuachie fanboys ndio tunajua kuangalia byuti na ugly nyie fangirls mbaki na wa kiume.

Nam Ji Hyun ni mzuri bwana halafu bado mdogo sana just 26 years
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa nimewaachieni wenyewe ngoja sie tubakie na hawa kina taehyung
 
Ngoja nitaangalia, halafu mbona kwenye posters za doctor romantic ni kama huwa namuona Ahn hyoseop au naye yumo
Yah Ahn Hyo Seop na Lee Sung Kyung ndio main leads mbali na Mzee Han Sun Kyu na walichukua nafasi kuanzia season na sasa season 3.

Kim Min Jae ni supporting character tangu mwanzo kabisa wakati inaanza 2016
 
Ni mzuri ila huwezi kumlinganisha na Park shin hye, Shin min ah, Son ye jini ( huyu ukiangalia kipindi yuko mdogo utanielewa)
Hapo nakuunga mkono kwa Park Shin Hye yule ni kama malaika tuliomuona drama zake za utotoni tunaelewa,Son Ye Jin wa kawaida sana at least Shin Min Ah.
 
Huyu drama zake nyingi anakua na tatizo la macho badala ya kuvaa miwani anavaa zile lensi za kupachika mpaka huwa najiuliza ni tatizo halisi au la kuigiza
Huyu dada huwa anasifiwa sana ila mimi sioni kama ni mzuri kihivyoo [emoji16][emoji16] anyway nawaachia wenyewe mlishasema siwezi kuona mnachoona ninyi
 
Name: One spring night
Year: 2019
Genre: Romance
Synopsis: A one sided relationship between a pharmacist single dad and a librarian beautiful woman.

One of the best Korean drama. Worth watching

Humu kuna English OSTs bora kuwahi kutokea.
i) Spring rain by Oscar Dunbar (hii ni OST nzuri sana worth listening)
ii) No direction by Rachel Yamagata
 
Sahamani!! Hivi Neno Drama na tamthilia Kuna utofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…