Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Divorce attorney shin aliyeitaja na kuirecommend humu shukrani. Nzuri na comedy zake tamu hasa baada ya mlango wa attorney kutengenezwa jamaa na mwenzie wakafurahi na kucheza open sesame๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ attorney anafungua mlango mwenzie anamchungulia na jibu la sesame
 

[emoji1787][emoji1787] sisi tuloishia njiani, saiv kudownload ep moja moja mbona ntairudia iishe[emoji1]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitakuja niangalie labda siku za mbeleni labda. Hata kpop nilikuwa nakataa hivihivi ila sasa hivi kiko wapi. Hii our blooming youth sijui nianze nayo sasa hivi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitakuja niangalie labda siku za mbeleni labda. Hata kpop nilikuwa nakataa hivihivi ila sasa hivi kiko wapi. Hii our blooming youth sijui nianze nayo sasa hivi

Mostly welcome

Ianze nimeipenda ina mastaa wa historical wengi ukiachana na main leads, japo kastori sio kapya.


Kama nilikua natizama running man wameenda philipino, jamani walivyojaza iyo arena sijui

Na wameimba tu nyimbo zao mchanganyiko hivyo basi yan hamna shughuli lakin bein in variety kuchekesha basi wamejaza watu ambao lugha gongana pia
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nilipomuona tu yule mbaba msaidizi wake nikajua kutakua na comedy humo,huyo jamaa sura haiendani na uhusika(wa jokes) anaopewa ila anafanikiwa kuuvaa.
Mimi attorney shin namkubalig ila humu alikua kama analazimisha kuwa comedy

Basi nikajisikia vibaya[emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilipomuona tu yule mbaba msaidizi wake nikajua kutakua na comedy humo,huyo jamaa sura haiendani na uhusika(wa jokes) anaopewa ila anafanikiwa kuuvaa.

Yule mbaba wa reply 1988 sura yake tu unacheka hata kakaa kimya naturally kama yule wa waikiki yan hadi wakipewa uhusika serious hawatizamiki hivyo.

Nataka nijue sabab ya kuacha kua piano proffesor so ntaimalizia
 
Ni kibaraza fulani kinachosongeshwa na kahawa mbili tatu.

Hukitumia kwa ajili ya kuwalika watu tofauti bila ya kujali status zao za kijamii na kuzungumza nao agenda tofauti.

Sio kama cook with wโ€ฆโ€ฆtuu[emoji1787]

Soga za wakorea huwa zina moja mbili tatu nyingi, and ume recommend wewe aaah sina shaka nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ