Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Alafu hii sijawaelewa nkiri mana wametoa ile episode ya 16 alafu wameandika end wakati ukiangalia inaonekana kabisa ile sio episode ya mwisho,
 
Mbona restraurant za kikorea zipo mkuu?
Ipo moja inaitwa goong wamehamia nyuma ya saifee hospital pale ukienda unapata kimchi,ile kitimoto yao wanayochoma wenyewe na soju juu!
Ila kaela kake kamechangamkaπŸ˜„
 
Hata mie nilikuta hivyo ila baada ya al hadidy kusema haijaisha nilipoenda kuhakikisha nikakukuta wametoa neno complete
Ni romantic kweli???? Maana wakorea wanajuaga kutudanganya na majina yao. Unaona drama inaitwa Happiness unasema upakue na wewe uondoe sononeko salaleee...unachoenda kukutana nacho sasa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Happiness.Yeah hii ipo vizuri kila episode inakutamanisha kuona inayofuatia ina fumbo moja hivi liliwasumbua asilimia kubwa ya watazamaji. Hivyo mwandishi katumia ujanja fulani wa kupendeza.
Ni romantic kweli???? Maana wakorea wanajuaga kutudanganya na majina yao. Unaona drama inaitwa Happiness unasema upakue na wewe uondoe sononeko salaleee...unachoenda kukutana nacho sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Happiness.Yeah hii ipo vizuri kila episode inakutamanisha kuona inayofuatia ina fumbo moja hivi liliwasumbua asilimia kubwa ya watazamaji. Hivyo mwandishi katumia ujanja fulani wa kupendeza.
[emoji16][emoji16][emoji16] fumbo lipi tena jamani huenda hata mimi sikuling'amua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…