Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aisee jana jioni sinikaingia youtube ile naingia tu nikakutana na jumong wanairudia mwanzo mwisho scene muhimu live kwenye channel ya MBC so jana nimeangalia mpaka cm ikaisha chaji leo asubuhi nimeamkanayo tena...hii drama huwa haiishi utamu
Nipe link nikacheki ,mimi nimerudia kama mara 3 kila mara naona kama mpya.
 
Yanii humu mambo wanayoyafanya esp in thr hosp unaweza kusema they are real doctors [emoji119][emoji119][emoji119] i enjoy this drama from season one
Huwa najiuliza wenzetu wana hospitali maalum kwaajili ya movie au namna gani...maana unaona kila kitu from mapokezi, maabara, Surgery room n.k na kama ni hospitali za kawaida mazingira hayo yanatengenezwa vipi ili shughuli za kila siku hapo zisiathiriwe
 
Kwa upande wa historical dramas nilijaribu kufuatulia sehemu wanazoigizia nikakuta, kumbe MBC na SBD wanamiliki maeneo ya kutosha (Km squares za maana), zenye majengo ya kizamani kwaajili ya kuigizia pamoja na misitu na mapori.


Mwanzo nilidhani zile nyumba huwa zinajengwa na kubomolewa, wenzetu wamewekeza vizuri kwenye sanaa na kuichukulia kama kazi seriously. Hata ukiangalia budgets zao ni billions of money.

Sijui kuhusu location ya hizi drama za mijini (kama hiyo doctor romantic) ila nadhani pesa huwa inamwaga haswa, pamoja na kuwapiga wahisika course maalumu juu ya namna ya ku-act kama watu wa afya, ikiwa ni sambamba na kuwa kuwaelekeza misamiati ya kitababu.
 
Kwa upande wa historical list yao ni hii ,hapo vilevile sina hata moja niliyowahi kutazama kwa ujumla sijafikisha hata 25 idadi ya Korean drama nilizowahi kuangalia na kumaliza zote wakongwe wakina Daemushin(Mzanzibar ) na wengine heshima yao.
 
Mimi nimejiuliza mnoo mfano ile episode one helicopter ina charter kabisa ya serikali aloooo🙌🙌🙌 yani unaangalia kitu unasema hii ni kweli au…wenzetu wako so advanced mnoooo acha tuwashabikie tu
 
Kwakweli maana wanaongea utasema real doctors na hawababaiki mfano kwenye operation weee utakia boive sunction cut aloo🔥🔥sijui wetu hapa watafika lini🤭
 
Muda mrefu kidogo umepita tangu drama initoe machozi kwa sababu nilishakuwa sugu ila episode ya 14 ya Joseon Lawyer imefanya nishindwe kucontrol machozi hadi maji nimeshindwa kunywa
 
Hata mimi hiyo empress ki ipo kwenye top 3 yangu bora
 
Wametumia vigezo gani kuzi-rank popularity au ratings?
 
I'm in...
inshaallah
------------
BLOODHOUNDS
Two young boxers band together with a benevolent moneylender to take down a ruthless loan shark who preys on the financially desperate.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…