Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu nimekukubali,hizo zote za kikorea au umechanganya na zakizungu....???
 
Mambo vipi wadau wa Korean Drama? Kuna hii site nimeipata unaweza kudownload korean drama free torrents tena nyingi zikiwa na subtitle hii hapa Korean Drama
 
Aigoo Aigooo kitu cha IRRIS, CITY HUNTER, QUEEN OF AMBITION, EAST OF EDDEN, JUMONG, A MAN CALLED GOD duu in short wapo vizuri sanaa

Aigooooooo! Unni, ni kama umesema zangu angalia nyingine QUEEN OF THE GAME na BRIDE OF THE CENTURY..
 
Athena sijaipata YOUTUBE vipi unayo?
 
Aigooooooo! Unni, ni kama umesema zangu angalia nyingine QUEEN OF THE GAME na BRIDE OF THE CENTURY..

Ooww komao cosmitaaaa...hahahaaa kikorea kinapanda vibaya mno......queen of the game kacheza nanii?
 
Umetisha me kumi tu sifiki nimeangalia
CITY HUNTER
GU FAMILY BOOK
BRIDE OF THE.CENTURY
LIE TO ME
IRIS
A MAN CALLED GOD
 
Umetisha me kumi tu sifiki nimeangalia
CITY HUNTER
GU FAMILY BOOK
BRIDE OF THE.CENTURY
LIE TO ME
IRIS
A MAN CALLED GOD

Ongezaa idadi chache sana mkuu mimi nimeangalia karibu mia na zaidi
 
Ooww komao cosmitaaaa...hahahaaa kikorea kinapanda vibaya mno......queen of the game kacheza nanii?

Tym ya kujua na majina yao ndio sina mama, sijui nani ni nani me naangalia tu
 
Ongezaa idadi chache sana mkuu mimi nimeangalia karibu mia na zaidi

Kuna nyingine mbili tatu nimesahau ila hata robo yako sifiki,.. hua naangalia weekend mara nyingi nikiangalia siku za kazi lazima kesho yake nichelewe kumtumikia ------ mana nitalala sa naaaane
 
Kuna nyingine mbili tatu nimesahau ila hata robo yako sifiki,.. hua naangalia weekend mara nyingi nikiangalia siku za kazi lazima kesho yake nichelewe kumtumikia ------ mana nitalala sa naaaane

Hahahaaaa mkuu apo kwenye desh desh ni neno gani uliandikaa
 
Iris
illijimae
city hunter
impress ki
a man called god
athena
three days
damo
jumong
land of wind
moon that embarased the sun
crime squard
kings hearts
sea god
giant
bridal mask

aisee nimesahau zingine ila nishaona zaidi ya hamsini
 
kuna man callde god, city hunter, athena iris umezicheki? kali balaa
 
K.a.f.i.r.i Unni kwani na hili tusi? Me najuaga ni msemo wa kiswahili tu

Sio tusi bhanaaaaaaaaaa wamebana tuu
Ila mwanzo lilikuwa linafaa sema watu waligeuza ni la kutukanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…