gumiho 36
Senior Member
- Apr 27, 2015
- 101
- 29
Haya na mimi naendelea na zile zangu.
Mi nmeimalz thousand kisses asa ile ni kiboko jan nmeanz hotel king
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya na mimi naendelea na zile zangu.
Mi nmeimalz thousand kisses asa ile ni kiboko jan nmeanz hotel king
Tatizo huniambii hiyo thousands kisses ina mastar gani? Mimi hua navutiwa sana na drama zenye mastar wakubwa.
Asa ile pale mastaa cjaon wanaojirudia lakn ni kal mi nlkua naangalia huk nadownload yaan net ikizngua nataman nizimie yaan ina story kal zaid jaman ni nzur zaid ya nzur
Wewe unadownoad kwa kutumia nini? PC au?
Wewe unadownoad kwa kutumia nini? PC au?
Wewe unadownoad kwa kutumia nini? PC au?
Daaah mi ndo nshakua crazy kabsaa maan ad maish nawaig saiv ni mwend wa kula past na kimchi yaan nakul vtu kam wenyw 🙄🙄🙄
Mwenzangu utawaweza wakorea kwa visasi? Jamani yule mama alikua ananiua mbavu sana.
Hasa alivyojifungua akawa anaondoka hosp akawa anasema kuwa kila kitu madeni tu hata kujifungua kajifungua kwa mkopo!...lol
Queen Second umeiona? Acha tu wale watu ni balaa.Yule mwizi Jukbang nampenda hatariiiii..
Pamoja na Deokman, bonge Godo, yule mama mwanasheria Mishil,Yushin, Bidam, Archeon Rang, Munno, Chilsuk, Sohwa....
Acha kabisa hii drama naipenda kwelikweli.
kuna man callde god, city hunter, athena iris umezicheki? kali balaa
Ngoja nikimaliza Personal taste na hii Kim So Roo nitaitafuta.
Wewe hunizidi mimi tena naona wewe bado mwanafunzi kwangu.
Mimi hizi drama/Korean movies nimeanza kuziangalia serious since 2010 na hadi leo hii nimeshaangalia zaidi ya 100!
Kama juzikati nimemaliza Hotel King, My loveable girl,na Hong Gil Dong.Ni juzi tu hata wiki 2 hazijaisha.
Hawa characters kama wa The Great Queen Seoundeok Unni.. au??!
Nikimaliza 49 Days nitaangalia Hotel King niko episode ya 11... Unni, utaipenda
Kweny hyo thousand kises yupo yule dad wa kweny boy overflower rafk ake jan di alokua wanafany kaz mgahawan
Aigooo, nilikapenda kale kasichana tatizo kalikua kananiumiza kalivyokua broken heart!
Niliupenda sana uigizaji wa Sanbae na umakini wake apa kuliko peterpan ambae alikuwa supportive na networking ila nilimuelewa sana reporter kuliko vivian daaaah Hii series mpaka sasa ndo nailewa zaidiA Man Called God- hii kitu ni mziki mwingine, utamuona Peter Pain anavyo wasumbua watu, ni kitu cha ukweli. Athena- hii ni muendelezo wa IRIS, hakika hii kitu mpaka sasa bado inabamba. Katika Korean drama nilizokwisha kuziona hizi mbili ni nzuri.
Niliupenda sana uigizaji wa Sanbae na umakini wake apa kuliko peterpan ambae alikuwa supportive na networking ila nilimuelewa sana reporter kuliko vivian daaaah Hii series mpaka sasa ndo nailewa zaidi
Sas kachek kweny hyo yaan ni nzur ad nliirudia