Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Tatizo huniambii hiyo thousands kisses ina mastar gani? Mimi hua navutiwa sana na drama zenye mastar wakubwa.

Asa ile pale mastaa cjaon wanaojirudia lakn ni kal mi nlkua naangalia huk nadownload yaan net ikizngua nataman nizimie yaan ina story kal zaid jaman ni nzur zaid ya nzur
 
Asa ile pale mastaa cjaon wanaojirudia lakn ni kal mi nlkua naangalia huk nadownload yaan net ikizngua nataman nizimie yaan ina story kal zaid jaman ni nzur zaid ya nzur

Wewe unadownoad kwa kutumia nini? PC au?
 
Daaah mi ndo nshakua crazy kabsaa maan ad maish nawaig saiv ni mwend wa kula past na kimchi yaan nakul vtu kam wenyw 🙄🙄🙄

Hhahahaha umenichekesha balaa juzi nilipika mchemsho wa nyama na viazi nyumbani kwangu mtu mmoja akanambia hizi movie za kikorea hizi zinatuharibia maisha leo cow borne soup kesho ramen...
 
Mwenzangu utawaweza wakorea kwa visasi? Jamani yule mama alikua ananiua mbavu sana.
Hasa alivyojifungua akawa anaondoka hosp akawa anasema kuwa kila kitu madeni tu hata kujifungua kajifungua kwa mkopo!...lol

Queen Second umeiona? Acha tu wale watu ni balaa.Yule mwizi Jukbang nampenda hatariiiii..
Pamoja na Deokman, bonge Godo, yule mama mwanasheria Mishil,Yushin, Bidam, Archeon Rang, Munno, Chilsuk, Sohwa....
Acha kabisa hii drama naipenda kwelikweli.

Hawa characters kama wa The Great Queen Seoundeok Unni.. au??!
 
Ngoja nikimaliza Personal taste na hii Kim So Roo nitaitafuta.
Wewe hunizidi mimi tena naona wewe bado mwanafunzi kwangu.
Mimi hizi drama/Korean movies nimeanza kuziangalia serious since 2010 na hadi leo hii nimeshaangalia zaidi ya 100!
Kama juzikati nimemaliza Hotel King, My loveable girl,na Hong Gil Dong.Ni juzi tu hata wiki 2 hazijaisha.

Nikimaliza 49 Days nitaangalia Hotel King niko episode ya 11... Unni, utaipenda
 
Hawa characters kama wa The Great Queen Seoundeok Unni.. au??!

Yeah unni, ndio wenyewe.Hii ni my favourite Korean Drama baada ya Jumong.Yaani naijua yoteeee maana niliiangalia kama mara 3 hivi.
Jinsi gani naipenda?

Too bad nimesikia Bidam baada ya hii drama hakutaka tena kuigiza alienda kujiunga na jeshi la Korea!
Nilimkubali sana kiukweli.
 
Nikimaliza 49 Days nitaangalia Hotel King niko episode ya 11... Unni, utaipenda

Mimi hiyo nilishamaliza.Ngoja nimalizie viporo vyangu nianze na hiyo 49 days maana mnaisifia sana.
 
Kweny hyo thousand kises yupo yule dad wa kweny boy overflower rafk ake jan di alokua wanafany kaz mgahawan

Aigooo, nilikapenda kale kasichana tatizo kalikua kananiumiza kalivyokua broken heart!
 
A Man Called God- hii kitu ni mziki mwingine, utamuona Peter Pain anavyo wasumbua watu, ni kitu cha ukweli. Athena- hii ni muendelezo wa IRIS, hakika hii kitu mpaka sasa bado inabamba. Katika Korean drama nilizokwisha kuziona hizi mbili ni nzuri.
Niliupenda sana uigizaji wa Sanbae na umakini wake apa kuliko peterpan ambae alikuwa supportive na networking ila nilimuelewa sana reporter kuliko vivian daaaah Hii series mpaka sasa ndo nailewa zaidi
 
Ndio maana hiyo series ikaitwa A Man Called God!
Hata mimi nilimkubali sana reporter Sin Bo Bae.
 
Back
Top Bottom