DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
hapana mkuu kim soo hyun hakucheza drama ya doctor stranger yule bwana mdogo anaitwa lee jong suk ambaye kwa mujibu wa stori na yeye binafsi amethibitisha ya kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na park shin hee ambaye ameigiza drama kama THE HEIRSKim soo hyun ndo wa kwenye a man from another star,Doctor stranger na hiyo aliyomaliza kuangalia. Yupo kwenye series nyingi Sana na sahivi ndo msanii wa korea anayelipwa pesa nyingi kwa kucheza movie.
Pia ameigiza drama kama vile
MR W
PINOCCIO, ICAN HEAR YOUR VOICE