mnadhimu mkuu wa jf
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 759
- 285
Hizi drama nimezikubali hongereni wakuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaa defendant ni yaukweli balaaa, sijaanza kiicheki missing nineNow nachek defendant na missing nine, ziko poa kinoma
Missing nine ni balaa mazee, hutojutiaAaaa defendant ni yaukweli balaaa, sijaanza kiicheki missing nine
iris naona waliiga zaidi kutoka kwa A MAN CALLED GOD hatari hiyo kituMm pia...naskia ni nzur lakin muda naipata IRIS...ilikua ishaangaliwa na wengi...so nikaachana nayo...Huntsman em tafuta GIANT....alaf utakuja kuniambia mwenyewe...
tafta kitu kinaitwa empress kiNimekuwa mpenzi mkubwa sana wa Korean Historical Drama...
Kwakweli huwa navutiwa sana nikiziangalia...
Historical Drama ambazo nimefanikiwa kuzitazama mpaka sasa ni;
Kama kuna Korean Historical Drama kali ambayo umeshaitazama na sijaitaja hapo juu itaje tafadhali ili niitafute..!
- Jumong
- Land of wind
- Emperor of the sea
- Dream of the emperor
- God of war
- Kim Soo Ro
- Gye Baek
- Dae Jo Yeong
- Gu Family Book
- Warrior Baek Dong Soo
- Slave Hunter
- King Gwanggaeto
Aisee defendant ni Nzuri, ajabu mm nilimpenda adui zaidi kuliko star, kuhusu missing nine nakuahidi hutojutia maana mimi binafsi naiangalia, ipo vizuri,Defendant tuliokuwa tunafuatilia naona imeisha vyema kwa both parties kuwa satisfied. Kuna hii K2 na missing nine zipo vipi? nisijemaliza bundle langu bure
Namuongezea East of Eden hapo japokuwa si historical sana ila ni tamu mno...tafta kitu kinaitwa empress ki
queen sendeok
six flying dragon
jewel on the palace
Korea gani sasa kusini au kaskazini?hahahahaaa mimi itanilazimu niweke fedha miaka 3.
Nimesoma vitabu vingi vya Korea, wanahistoria wa China walipotosha hili swala. Hawataki kukubaliana na ukweli dola ndogo kuteka sehemu kubwa ya. Mashariki ya mbali.Kwa wapenzi na wafuatiliaji wa historia za nchi mashariki ya mbali, hususan nchi za uchina (chunguek), penusula ya korea (hanguek) na falme ya japan (waeguek). Falme ya goguryeo ilikuwa ni ya nchi gani kati ya china na kirea?. Wachina ktk vitabu vyao wanasem ni ya kwao na wa korean wanasema nu ya kwao. Nani yupo sahihi na kwa sababu zipi?