Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

My love from another star
Temptation of an angel
Doctors crush
W-two world
Strange doctor
Incarnation of money
Innocent man
Descendant of the sun
I hear you
To the beautiful you
You are beatiful
Morim school
Wanted
Secret garden
The heirs
Fugitive plan B
Emergency couple
Boys over flowers
Love rain
The legend of blue sea
Haertstring
My girlfriend is gumiho
kill me,heal me

subiri nipumzike kidogo ntaendelea
 
Nimekuwa mpenzi mkubwa sana wa Korean Historical Drama...
Kwakweli huwa navutiwa sana nikiziangalia...
Historical Drama ambazo nimefanikiwa kuzitazama mpaka sasa ni;

  • Jumong
  • Land of wind
  • Emperor of the sea
  • Dream of the emperor
  • God of war
  • Kim Soo Ro
  • Gye Baek
  • Dae Jo Yeong
  • Gu Family Book
  • Warrior Baek Dong Soo
  • Slave Hunter
  • King Gwanggaeto
Kama kuna Korean Historical Drama kali ambayo umeshaitazama na sijaitaja hapo juu itaje tafadhali ili niitafute..!
tafta kitu kinaitwa empress ki
queen sendeok
six flying dragon
jewel on the palace
 
Wakuu kwa aliecheki Doctor stranger anipe mrejesho mi nimecheki mpka episode ya 11 naona inaniboa sana ,
 
Defendant tuliokuwa tunafuatilia naona imeisha vyema kwa both parties kuwa satisfied. Kuna hii K2 na missing nine zipo vipi? nisijemaliza bundle langu bure
 
7545215a661a6ff2680a079c859e3ca1.jpg

North Korea.
 
Defendant tuliokuwa tunafuatilia naona imeisha vyema kwa both parties kuwa satisfied. Kuna hii K2 na missing nine zipo vipi? nisijemaliza bundle langu bure
Aisee defendant ni Nzuri, ajabu mm nilimpenda adui zaidi kuliko star, kuhusu missing nine nakuahidi hutojutia maana mimi binafsi naiangalia, ipo vizuri,
 
East of Eden - romance na life story,betrayal... Itakuliza mno hii
Doctor stranger - romance & melodrama. Daktari bingwa ila anapitia changamoto nyingi mno
Blood - mystery, romance, horror kidogo, melodrama
My girlfriend is a nine tailed fox - comedy, melodrama, romance & mystery
 
Heartless city na nyinginezo kazitafute kwenye application ipo google inaitwa DRAMANIA source thread ya korean dramas ipo humu humu jf
 
Kwa wapenzi na wafuatiliaji wa historia za nchi mashariki ya mbali, hususan nchi za uchina (chunguek), penusula ya korea (hanguek) na falme ya japan (waeguek). Falme ya goguryeo ilikuwa ni ya nchi gani kati ya china na kirea?. Wachina ktk vitabu vyao wanasem ni ya kwao na wa korean wanasema nu ya kwao. Nani yupo sahihi na kwa sababu zipi?
 
Nimesoma vitabu vingi vya Korea, wanahistoria wa China walipotosha hili swala. Hawataki kukubaliana na ukweli dola ndogo kuteka sehemu kubwa ya. Mashariki ya mbali.
 
Back
Top Bottom