Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nina 'series' karibu zote za 'Historical dramas' na mpya. Inayooneshwa sasa ni nzuri ya "Hwarang - the beggining". Kikundi cha vijana kilichoanzishwa kumlinda Mfalme na ukoo wake.
samahani naomba unisaidie walau series 2 mkuu,nina ukame wa hatari.pc yang imekufa kwa hiyo kudonwload majanga
 
IMG-20170409-WA0002.jpg
Kim young ae has passed away today am 9/4/2017
 
kupitia thread hii nimeamua kutangaza rasmi ya kwamba nitakapomaliza kuangalia Fated to love you sitaangalia tena drama itakayochezwa na Jang hyuk kwa sababu nimechoshwa na vicheko vyake na nahisi humu kapitiliza. episode ya 1 amecheka kama mara 10.

img_2932.png

nikikumbuka vicheko vya kwenye The merchant Gaekju, shine or go crazy,chunno,deep root tree na humu na hisi balaa.

jang-hyuk-jang-na-ra_1407633752_af_org.jpg
20140824102010_53f93dc9bf812_1.jpg

nimeamua kunyoosha mikono juu kwa huyu mtu wenu.

ila hii drama nimevutiwa zaidi na ost.
Ailee (beyonce wa korea) - good bye my love
jung dongha - destiny sonata
you are my everything -melody day
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hukuona mimi nikilalamika hapa jukwaani kuhusu vicheko vyake?
Anakera sana.
 
Tujikumbushe kidogo ,ivi kati ya IRIS 1,IRIS 2 na athenna IPI ambayo umeipenda zaid ???
 
Lee Min Ho amethibitisha rasmi kutumikia shughuli za kijeshi
Muigizaji lee min ho siku ya leo amethibitisha rasmi ya kwamba atakwenda kutumikia shughuli za kijeshi kwa muda wa miaka miwili kuanzia 12/5/2017,tofauti na wengine yeye amechaguliwa kushughulika zaidi na kazi za kijamii kutokana na matatizo aliyokumbana mwaka 2006 ambapo alipata ajali ya gari na kituo chake cha kazi itakuwa ni kwenye mji wa Gangnam.
Kwa mujibu wa lee min ho agency ambao ni MYM entertainment wametoa taarifa rasmi kuhusiano na suala hilo leo hii.

"the enlistment date for lee min ho was confirmed today. It is true that he will be starting his millitary service on May 12 in Gangnam as a social service worker"
LMH_0LSJcP4.jpg

namtakia kila la kheri katika majukumu yake ya kujenga nchi ila hii habari itakuwa ni mbaya kwa kina noona na hata baadhi ya ahjumma
Habari mbaya sana hii kwangu[emoji24] [emoji24] nitammiss sana oppa
 
Jumong
The land of wind
Six flying dragons
The emperor of the sea
The iron Kingdom
Chuno ( slave hunters )
Dong yi
A man called god
Athena
Hong gil dong
Iljimae
The return of iljimae
Warrior baek dong soo
Rebel( bado inaendelea)
The great queen
Tree with deep roots
Gu family book
My love from star
Playful kiss
You are beautiful
Faith
Joseon gunman
The lobylist ( kama sijakosea spelling )
Scarlet heart
Doh nyingine mesahau majina.
 
Back
Top Bottom