South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,514
- 5,143
Imetulia sanaTH
THE HONG FAMILY wananifurahisha sana mambo yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imetulia sanaTH
THE HONG FAMILY wananifurahisha sana mambo yao.
Shukrani mkuu ni ufuatiliaji tu na kusoma soma mtandaoni habari zake na historia zake.upo vizuri sana nimeona comment zako nyingi
samahani naomba unisaidie walau series 2 mkuu,nina ukame wa hatari.pc yang imekufa kwa hiyo kudonwload majangaNina 'series' karibu zote za 'Historical dramas' na mpya. Inayooneshwa sasa ni nzuri ya "Hwarang - the beggining". Kikundi cha vijana kilichoanzishwa kumlinda Mfalme na ukoo wake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hukuona mimi nikilalamika hapa jukwaani kuhusu vicheko vyake?kupitia thread hii nimeamua kutangaza rasmi ya kwamba nitakapomaliza kuangalia Fated to love you sitaangalia tena drama itakayochezwa na Jang hyuk kwa sababu nimechoshwa na vicheko vyake na nahisi humu kapitiliza. episode ya 1 amecheka kama mara 10.
![]()
nikikumbuka vicheko vya kwenye The merchant Gaekju, shine or go crazy,chunno,deep root tree na humu na hisi balaa.
![]()
![]()
nimeamua kunyoosha mikono juu kwa huyu mtu wenu.
ila hii drama nimevutiwa zaidi na ost.
Ailee (beyonce wa korea) - good bye my love
jung dongha - destiny sonata
you are my everything -melody day
Whaaaaaaat? [emoji15] [emoji15] [emoji15] Huyu mama si yupo kwenye The moon that embraces the sun?View attachment 493271 Kim young ae has passed away today am 9/4/2017
[emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]View attachment 493271 Kim young ae has passed away today am 9/4/2017
Iris 1 ni nzuri mnooTujikumbushe kidogo ,ivi kati ya IRIS 1,IRIS 2 na athenna IPI ambayo umeipenda zaid ???
Habari mbaya sana hii kwangu[emoji24] [emoji24] nitammiss sana oppaLee Min Ho amethibitisha rasmi kutumikia shughuli za kijeshi
Muigizaji lee min ho siku ya leo amethibitisha rasmi ya kwamba atakwenda kutumikia shughuli za kijeshi kwa muda wa miaka miwili kuanzia 12/5/2017,tofauti na wengine yeye amechaguliwa kushughulika zaidi na kazi za kijamii kutokana na matatizo aliyokumbana mwaka 2006 ambapo alipata ajali ya gari na kituo chake cha kazi itakuwa ni kwenye mji wa Gangnam.
Kwa mujibu wa lee min ho agency ambao ni MYM entertainment wametoa taarifa rasmi kuhusiano na suala hilo leo hii.
"the enlistment date for lee min ho was confirmed today. It is true that he will be starting his millitary service on May 12 in Gangnam as a social service worker"
![]()
namtakia kila la kheri katika majukumu yake ya kujenga nchi ila hii habari itakuwa ni mbaya kwa kina noona na hata baadhi ya ahjumma
Ule wa crying again? Uwiiiiiii naupenda hatari.Aigoo aigoo mi naupenda zaidi ule mwingine