Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yule mwalimu kwenye 6flying[emoji236] sambong (jeon do jeon) hyo Series hapo ndo inamwelezea napata kuamini yule ticha alikua noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
kwangu mimi huwezi kuizungumzia nchi ya Joseon bila ya jeong do jeon(sambong). nikiangalia harakati zake za kupigania usawa kwenye taifa la Goryeo kwa kupambana na waziri mkuu lee I-Nim mpaka akaamua kuwa muasi na kufanya mapinduzi na kutafautiana na rafiki yake kipenzi Jeong mong ju (poeun) great thinker wa kipindi hicho ambaye alikuwa akiamini wao kwa pamoja wana uwezo wa kurudisha heshima ya taifa la goryeo ila bahati mbaya sambong hakuwa tena na mawazo ya goryeo na kwangu mimi urafiki wa sambong na poeun ulikuwa ni zaidi ya urafiki wa lowassa na kikwete.
ukiangalia drama hii ya jeong do jeon ndipo utapata kufahamu zaidi jinsi walivyokutana kwa mara ya kwanza kati ya sambong na general yi seong ye mnamo mwaka 1383 kwenye kambi za hamgyong wakati ambao yi seong ye alikuwa anaongoza vita dhidi ya wavamizi wa japan.
mwaka 1388 wakati ambao taifa la mongols lilipoivamia taifa la goryeo ndipo yi seong ye akaamrishwa kuivamia kaskazini mwa liaodong ila cha kushangaza lee seong ye akakataa oda ya mfalme na ya general choi young na akatoa sababu zifuatazo kwa ushauri wa mwanamipango sambong
  1. taifa la goryeo ni dogo hivyo halina uwezo wa kuvamia taifa kubwa
  2. hali ya hewa ilikuwa ni ya mvua hivyo basi msafara wa kuelekea kaskazini utakumbana na dhoruba nyingi
  3. kama nchi itaelekea vitani upande wa kaskazini basi wajapan watavamia upande wa kusini
  4. kwa kuwa ni wakati wa mvua basi wananchi wanapaswa kulima na si kwenda vitani baada ya majibizano ya muda mrefu yi seong ye akaamua kurudi mji mkuu wa gaegyeong pamoja na jeshi lake na kutokezea vita ya wenye kwa wenyewe jambo lililopelekea general choi young kushindwa vita na ukawa ni mwisho wake wa kuwa na nguvu.
    104430.jpg
kukosa nguvu kwa choi young kulipelekea kambi inayopigania goryeo iendelee kubaki ipoteze nguvu kubwa na kubaki jeong mong jo peke yake na upinzani dhidi ya rafiki yake kipenzi sambong ulizidi hadi kupelekea kutoa amri ya sambong anyongwe.
ila siku chache kabla ya kunyongwa kwa sambong lee bang won ambaye alikuwa ni mtoto wa tano wa general yi seong ye alimuua jeong mong jo (poeun) kwenye daraja la sonjukkyo na ukawa ndio mwisho wa harakati zake za kuipigania goryeo.
kabla ya kifo chake aliandika shairi na kumtumia yi bangwon ampelekee baba yake

Though I die and die again a hundred times,
That my bones turn to dust, whether my soul remains or not
Ever loyal to my Lord, how can this red heart ever fade away?

yi seong ye akawa mfalme wa joseon na ukawa ndio mwisho wa utawala wa wang na kuanza kwa utawala wa lee (yi) na sambong akawa waziri mkuu wa joseon na ndiye aliyesimamia ujenzi wa ikulu ya joseon na akaipa jina la Gyeongbokgung palace ambayo mpaka leo inatumika kwa ajili ya kuigizia drama na pia kuwa ni kivutio cha utalii.
5.jpg

vita ya madaraka ikaingia tena kwenye taifa la joseon baada ya yi bang won kutokuchaguliwa kuwa ni mrithi wa kiti cha mfalme ambapo nafasi yake alipewa mtoto wa kwanza wa mke wa pili wa general yiseongye (yi bangseok) na aliamini aliyesababisha yeye kukosa nafasi ni sambong kutokana na bifu la kumuua rafiki yake poeun.
photo386133.jpg

kosa lile lile alolifanya general choi young la kutaka goryeo ivamie nchi ya china kwa ajili ya kuurudisha mji wa liaodong ambao kihistoria ilikuwa ni ngome ya goguryeo kabla utawala wake haujaanguka naye sambong alilirejea tena kwani naye aliamini joseon ina uwezo wa kuipiga china. siku chache baada ya kufa kwa malikia sindeok naye yi bangwon aliitumia nafasi hii kufanya mapinduzi kwa kuwaua ndugu zake ambao walizaliwa na mama wa kambo na pia kumuua sambong na wafuasi wake na akabeba ufalme.
6.jpg

yi bangwon akamtangaza sambong kama ni muasi wa taifa na mwili wake utupwe na pia akamtangaza jeong mong jo kama ni shujaa wa goryeo.

je ninani shujaa kati ya jeong do jeon (sambong) na jeong mong ju (poeun)
 
Unakumbuka hadi miaka uko vizuri mkuu.Sema wenzetu wako makini sana wanajaribu kuendana na ukweli na uhalisia ndio maana series za vile now zimepungua hawataki kuludia story nadhani hii ndio sababu wanazidi kuuza zaidi.

Sent using Iphone 7+
google inasaidia
 
siku hizi unanifanya nipunguze kutembelea soompi.
gomabseubnida = ahsante sana.
Unajua Hili chimbo Nilikuwa Nalijua Kitambo Lakini Sikuwa Najua Kama Kulikuwa Na Hii forum Kama Ya kwetu ila Ni wewe Ndo Ulonifungulia Dunia Kwa Hili Ubarikiwe Sana, Mara Nyingi Sa Ivi Napatembelea Na User Name Yangu Ni Chae2gyung Thanks Sunbae Damushin
 
Kama Sijakosea Damushin Nisahihishe, Ilianza Guguryeo ikaja Balhae Ikaja Sila au Shila Sijuhi ndo Ikaingia Korea
bingo.
baada ya silla ilikuja goryeo, baadae goryeo ilianguka na kuja joseon dynasty, baadae ikawa emperor ndio ikawa korea kama sikosei
 
Kuna Hii Drama Nayoangalia Now Ya Rebel, Inasemekana Ni Drama Ambayo Imeuza Sana Sana kwa Huu Mwaka Kwa Kipindi Kile Inaonyeshwa...

Mi Ndomana Kila Siku Nasema Tanzania Tungejaribu kukopi Izi Kazi Nasi Tungekuwa Mbali Sana Yaani, Wanainvest Sana Kwenye Hizi Kazi Awa Watu Yaani Mi Nimewatamani Mpka Naamua Kuenda Nao Tuuh Maana Amna Jinsi
Ndio nimeidowload ngoja niicheki hapa.

Sent using Iphone 7+
 
kwangu mimi huwezi kuizungumzia nchi ya Joseon bila ya jeong do jeon(sambong). nikiangalia harakati zake za kupigania usawa kwenye taifa la Goryeo kwa kupambana na waziri mkuu lee I-Nim mpaka akaamua kuwa muasi na kufanya mapinduzi na kutafautiana na rafiki yake kipenzi Jeong mong ju (poeun) great thinker wa kipindi hicho ambaye alikuwa akiamini wao kwa pamoja wana uwezo wa kurudisha heshima ya taifa la goryeo ila bahati mbaya sambong hakuwa tena na mawazo ya goryeo na kwangu mimi urafiki wa sambong na poeun ulikuwa ni zaidi ya urafiki wa lowassa na kikwete.
ukiangalia drama hii ya jeong do jeon ndipo utapata kufahamu zaidi jinsi walivyokutana kwa mara ya kwanza kati ya sambong na general yi seong ye mnamo mwaka 1383 kwenye kambi za hamgyong wakati ambao yi seong ye alikuwa anaongoza vita dhidi ya wavamizi wa japan.
mwaka 1388 wakati ambao taifa la mongols lilipoivamia taifa la goryeo ndipo yi seong ye akaamrishwa kuivamia kaskazini mwa liaodong ila cha kushangaza lee seong ye akakataa oda ya mfalme na ya general choi young na akatoa sababu zifuatazo kwa ushauri wa mwanamipango sambong
  1. taifa la goryeo ni dogo hivyo halina uwezo wa kuvamia taifa kubwa
  2. hali ya hewa ilikuwa ni ya mvua hivyo basi msafara wa kuelekea kaskazini utakumbana na dhoruba nyingi
  3. kama nchi itaelekea vitani upande wa kaskazini basi wajapan watavamia upande wa kusini
  4. kwa kuwa ni wakati wa mvua basi wananchi wanapaswa kulima na si kwenda vitani baada ya majibizano ya muda mrefu yi seong ye akaamua kurudi mji mkuu wa gaegyeong pamoja na jeshi lake na kutokezea vita ya wenye kwa wenyewe jambo lililopelekea general choi young kushindwa vita na ukawa ni mwisho wake wa kuwa na nguvu.
    104430.jpg
kukosa nguvu kwa choi young kulipelekea kambi inayopigania goryeo iendelee kubaki ipoteze nguvu kubwa na kubaki jeong mong jo peke yake na upinzani dhidi ya rafiki yake kipenzi sambong ulizidi hadi kupelekea kutoa amri ya sambong anyongwe.
ila siku chache kabla ya kunyongwa kwa sambong lee bang won ambaye alikuwa ni mtoto wa tano wa general yi seong ye alimuua jeong mong jo (poeun) kwenye daraja la sonjukkyo na ukawa ndio mwisho wa harakati zake za kuipigania goryeo.
kabla ya kifo chake aliandika shairi na kumtumia yi bangwon ampelekee baba yake

Though I die and die again a hundred times,
That my bones turn to dust, whether my soul remains or not
Ever loyal to my Lord, how can this red heart ever fade away?

yi seong ye akawa mfalme wa joseon na ukawa ndio mwisho wa utawala wa wang na kuanza kwa utawala wa lee (yi) na sambong akawa waziri mkuu wa joseon na ndiye aliyesimamia ujenzi wa ikulu ya joseon na akaipa jina la Gyeongbokgung palace ambayo mpaka leo inatumika kwa ajili ya kuigizia drama na pia kuwa ni kivutio cha utalii.
5.jpg

vita ya madaraka ikaingia tena kwenye taifa la joseon baada ya yi bang won kutokuchaguliwa kuwa ni mrithi wa kiti cha mfalme ambapo nafasi yake alipewa mtoto wa kwanza wa mke wa pili wa general yiseongye (yi bangseok) na aliamini aliyesababisha yeye kukosa nafasi ni sambong kutokana na bifu la kumuua rafiki yake poeun.
photo386133.jpg

kosa lile lile alolifanya general choi young la kutaka goryeo ivamie nchi ya china kwa ajili ya kuurudisha mji wa liaodong ambao kihistoria ilikuwa ni ngome ya goguryeo kabla utawala wake haujaanguka naye sambong alilirejea tena kwani naye aliamini joseon ina uwezo wa kuipiga china. siku chache baada ya kufa kwa malikia sindeok naye yi bangwon aliitumia nafasi hii kufanya mapinduzi kwa kuwaua ndugu zake ambao walizaliwa na mama wa kambo na pia kumuua sambong na wafuasi wake na akabeba ufalme.
6.jpg

yi bangwon akamtangaza sambong kama ni muasi wa taifa na mwili wake utupwe na pia akamtangaza jeong mong jo kama ni shujaa wa goryeo.

je ninani shujaa kati ya jeong do jeon (sambong) na jeong mong ju (poeun)
Greatest Reward
 
Unajua Hili chimbo Nilikuwa Nalijua Kitambo Lakini Sikuwa Najua Kama Kulikuwa Na Hii forum Kama Ya kwetu ila Ni wewe Ndo Ulonifungulia Dunia Kwa Hili Ubarikiwe Sana, Mara Nyingi Sa Ivi Napatembelea Na User Name Yangu Ni Chae2gyung Thanks Sunbae Damushin
🙂🙂🙂🙂😛😳😵😕
annyeong = kwa heri
 
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

Tuambiane;

- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?

- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')

-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?

Pia:

- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?

- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?

- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?

- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!

Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!

=========

Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;

Be Strong Geum Soon

Princess Ja Myung Go

THREE DAYS (2014)

Swallow the Sun

Jumong

King Guenchoggo

=====

Links za ku-download drama za Kikorea;

- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net

======

Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread)
..

Kazi kwako.. Enjoy!
Swallow the sun io hautajutia

Swallow the sun, io hautajuta kuiona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom