Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

DNdtB9iUQAAvtU_.jpg

BO GUM
Hivi huyu ndiyo aliyecheza Hello monster??
 
Naam wapendwa leo ngoja nitoe la moyoni. Kwa baadhi ya Korea Drama nilizo wahi kuzicheki aisee hii kitu inayoitwa King Gwanggaeto imenishika si mchezo yaani. Goma lina kila kitu yaani kuanzia Furaha, Huzuni, Ucheshi, Mapenzi ya dhati, Usaliti nakadhalika katika hivyo. Ukija sasa katika wahusika ndio pasua kichwa wapendwa aisee yule muhusika mkuu yuko very interested na kitu anayo fanya. Nimemkubali asilimia zote, jamaa ka act kama kweli yaani Dah kuna watu na watu yaani mchizi yuko serious na kile anafanya. Jamaniiiii yule mshikaji nimemuelewa kinoma Yaani Japo kwa Song il Gook atasubili sana. Damushin nipe jina la huyo jamaa angu maana si kwa serious ule katika kazi jamaa kanifunza mengi katika maisha. My dear aminas itafute hiyo ishu maana nakumbuka uliwahi kuniambia hujawahi ichek iko poa sana mtu wangu wa damu. Mwanzo nilikuwa naikubali sana Jumong lakin kwa Ishu hii atanisamehe Song il Gook. Goma likianza Hutaki liishe, hiz Ishu za vijijini ndio nazielewa aisee Damushin fanya kunipa link ya Queen Sedok......... (Sijuhi ata inaitwaje) aminas ndio anajua na ile ya Dae Jo Young hiz Ishu ndio nazitaka now. Thanks kwa kusoma.
link tafadhali
 
KUTANA NA TAMTHILIA BORA ZA KITABIBU/UDAKTARI NCHINI KOREA
1.ROMANTIC DOCTOR TEACHER KIM
Doctor Kim ni Muajiriwa katika kitengo cha upasuaji nchini korea katika hospitali moja maarufu,anaamua kuondoka katika hospitali Huyo baada ya kufukuzwa kwa kile kinachodaiwa ni makosa ya kitabibu aliyoyafanya katika hospitali hiyo,Anaamua kuendelea na udaktari katika hospitali moja ndogo nje ya mji yenye uhaba wa vifaa na vifaa duni.
Hii Iko Nje Ya Korea....Nilikuwa Nahitaji Site Ya Movie Za Kihindi, Kuna Hiii Movie Ya Ae Dil Hai Mushkil Ya Ranbir Kapoor Ninaitafuta Kweli Nimejaribu Angalia YOUTUBE ILA NAKO MIZINGUO..
www.filmywap.com au pia sojuoppa.net
 
Back
Top Bottom