Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Damushin sunbae nisaidie kuunganisha dots kabla hunaondoka (while yo were sleeping)
1.Han woo Tak ni nani? Mbona uwepo wake siuelewi hata
2. Kuna siri gani kubwa inayomhusu? Nakumbuka yule rafiki yake alimwambia asipomuokoa na ile kesi atatoa siri
3. Yule kaka wa muuaji wa baba wa Hong Joo na mwenzie yuko wapi?
4. Yule mtuhumiwa wa mauaji ni nani mbona kama anafanana na yule mwanajeshi?
5. Mbona lawyer Lee anatumia nguvu kubwa kumkandamiza yule mtuhumiwa. Mimi nahisi yeye ndo anahusika kwa namna moja au nyingine na mauaji ya yule dada maana alipaniki sana aliposikia mtuhumiwa ameachiwa huru
naamini Khantwe noona maswali yako utakuwa umeshapata majawabu kwa sababu naamini utakuwa ushamaliza kuiangalia while you were sleeping ila si vibaya na mimi nikaweka mawazo yangu kama ulivyoniomba siku ya tarehe 21/10/2017.
  • han woo tak ni askari ambaye naye pia ana uwezo wa kuona matukio yatakayotokezea mbeleni kwa kuota ndoto.
  • siri kubwa aliyokuwa nayo ni kwamba ana tatizo la color blindness, kiufupi anashindwa kutofautisha rangi na jambo hili alilificha wakati anafanya vipimo kwa ajili ya kuwa askari na kisheria inavyoonekana kama una tatizo la color blindness hupaswi kuwa askari.kuna episode moja nakumbuka nam hong joo alisahau power bank yake kwenye gari la wootak na ilikuwa ina rangi kijani lakini cha kushangaza woo tak anasema power bank ilikuwa ni rangi nyekundu. hata siku waliomfukuza yule kijana aliyeitupa simu kwenye maji alishindwa kutofautisha rangi ya flana aliovaa mtuhumiwa ambayo ilikuwa ni gray,na ndio maana baada ya kesi kuisha aliamua kuacha kazi.
  • yule kaka wa muuaji aliyemuua baba yake hong joo na jae chan ndiye Mr choi dam dong, aliamua kuachana na kazi ya polisi na kuamua kufanya kazi kitengo cha sheria kinachohusika na masuala ya uhalifu.
    while-you-were-sleeping-kim-wonhae.png
  • yule mtuhumiwa wa mauaji ya mwanadada ambaye ni bingwa wa kurusha mishale ni rafiki na woo tak tokea shuleni, wala si yeye aliyemuua marehemu ila marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa ambao ulikuwa unamsababisha kuanguka na kupoteza fahamu.mwanasheria lee yeo beom alipaniki kwa sababu tayari alikwisha tia fitina kwa baba wa yule mwanamke ndio maana yule baba baada ya mtuhumiwa kuachiwa kwa hasira aliamua kumtwanga panda ya mzungu (risasi) wakili jae chan.
 
Aisee baba mkwe (kwa Daehan[emoji13] ) alikuwa anatia huruma sana kwenye hii drama af ilikuwa na sad ending mimi sikupenda kwa kweli
aigoooooo mara hii kwa song daehan, nahofia utasababisha vita ya ndugu. ilikuwa ni sad ending kwa sababu jang bogo aliuliwa kweli kwenye maisha yake na wakorea wanavyokera hawapendi kubadilisha historia.
 
Damushin am so touched jamani mpaka imebidi niandike chochote, asante kwa compliment uliyonipa ukweli huwa nachungulia kwa nadra kny huu uzi. Tatizo toka mwaka huu uanze sijapata drama mpya kwa hivyo nikarudi kny american series...nikipata muda huwa nakuja kukusoma humu ili kujua nini kinaendelea, Amina nae ameongeza sana joto kwenye huu uzi. Tuko pamoja
aminas amezaliwa kwenye kisiwa cha jeju. huyu mtu wako yupo kimya sana mwaka huu
Kang_Ji-Hwan-p1.jpg
 
naamini Khantwe noona maswali yako utakuwa umeshapata majawabu kwa sababu naamini utakuwa ushamaliza kuiangalia while you were sleeping ila si vibaya na mimi nikaweka mawazo yangu kama ulivyoniomba siku ya tarehe 21/10/2017.
  • han woo tak ni askari ambaye naye pia ana uwezo wa kuona matukio yatakayotokezea mbeleni kwa kuota ndoto.
  • siri kubwa aliyokuwa nayo ni kwamba ana tatizo la color blindness, kiufupi anashindwa kutofautisha rangi na jambo hili alilificha wakati anafanya vipimo kwa ajili ya kuwa askari na kisheria inavyoonekana kama una tatizo la color blindness hupaswi kuwa askari.kuna episode moja nakumbuka nam hong joo alisahau power bank yake kwenye gari la wootak na ilikuwa ina rangi kijani lakini cha kushangaza woo tak anasema power bank ilikuwa ni rangi nyekundu. hata siku waliomfukuza yule kijana aliyeitupa simu kwenye maji alishindwa kutofautisha rangi ya flana aliovaa mtuhumiwa ambayo ilikuwa ni gray,na ndio maana baada ya kesi kuisha aliamua kuacha kazi.
  • yule kaka wa muuaji aliyemuua baba yake hong joo na jae chan ndiye Mr choi dam dong, aliamua kuachana na kazi ya polisi na kuamua kufanya kazi kitengo cha sheria kinachohusika na masuala ya uhalifu.
    while-you-were-sleeping-kim-wonhae.png
  • yule mtuhumiwa wa mauaji ya mwanadada ambaye ni bingwa wa kurusha mishale ni rafiki na woo tak tokea shuleni, wala si yeye aliyemuua marehemu ila marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa ambao ulikuwa unamsababisha kuanguka na kupoteza fahamu.mwanasheria lee yeo beom alipaniki kwa sababu tayari alikwisha tia fitina kwa baba wa yule mwanamke ndio maana yule baba baada ya mtuhumiwa kuachiwa kwa hasira aliamua kumtwanga panda ya mzungu (risasi) wakili jae chan.
Nashukuru maswali yangu yalipata majibu mwishoni kusema kweli hata miki Han Woo Tak kanivutia sana. Nimegundua nilikuwa naelewa tofauti kuhusu Colour blindness disorder, mimi nilidhani mtu mwenye hilo tatizo anakuwa hawezi kutofautisha rangi yaani ukimwekea hapa nyekundu, nyeusi na nyeupe ataona zote nyeupe tu kumbe shida ni majina ya rangi anakuwa hajui.
Nilichogundua ni kwamba Mr Choi pia alikuwa anaota japo pengine sio mara nyingi kama wale watatu.
Nilikuwa nacheka sana jinsi Jae Chan alivyokuwa anaishi na mdogo wake.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] itafika wakati nitajikuta najua sheria za Korea kuliko za kwetu maana sio kwa kuangalia huku legal drama.
 
aigoooooo mara hii kwa song daehan, nahofia utasababisha vita ya ndugu. ilikuwa ni sad ending kwa sababu jang bogo aliuliwa kweli kwenye maisha yake na wakorea wanavyokera hawapendi kubadilisha historia.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] Song Daehan ndo husband material Manse sitomuweza. Daah walikufa wote kabakia mtoto tu na mama yake wa kambo
 
Nashukuru maswali yangu yalipata majibu mwishoni kusema kweli hata miki Han Woo Tak kanivutia sana. Nimegundua nilikuwa naelewa tofauti kuhusu Colour blindness disorder, mimi nilidhani mtu mwenye hilo tatizo anakuwa hawezi kutofautisha rangi yaani ukimwekea hapa nyekundu, nyeusi na nyeupe ataona zote nyeupe tu kumbe shida ni majina ya rangi anakuwa hajui.
Nilichogundua ni kwamba Mr Choi pia alikuwa anaota japo pengine sio mara nyingi kama wale watatu.
Nilikuwa nacheka sana jinsi Jae Chan alivyokuwa anaishi na mdogo wake.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] itafika wakati nitajikuta najua sheria za Korea kuliko za kwetu maana sio kwa kuangalia huku legal drama.
  • maisha yao yalikuwa ni burudani sana, kiukweli ukiangalia korean drama unasahau kabisa stress za nchi yetu na unabaki kutamani maisha ya watu.
  • mr choi pia alikuwa anaona tukio la baadae ndio maana aliweza kufahamu sehemu waliofungiwa kwa kufuli jae chan na hong joo.
  • hala hala na sheria zako usije ukawa kama lee yeo bum ila uwe kama shin hui min
    x6ZcJAC.jpg
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] Song Daehan ndo husband material Manse sitomuweza. Daah walikufa wote kabakia mtoto tu na mama yake wa kambo
  1. hahahaaaa kwa song dae han baada ya kukulinda wewe usiibiwe itabidi umlinde wewe ili asiibiwe.
    eb22bf500658ed1b921fb10937705639--songs-wallpaper.jpg
  2. basi mdogo wangu ataolewa na mpenda wengi song manse ila itabidi avumilie tu vituko vya mume yule
    1efee19f7112c318e934929a7be6e411--brother-superman.jpg
  3. kwa kuwa nina ndugu wawili wa kike basi mwengine nitampeleka kwa great thinker song minguk
    3530ece36eb984c2c3d8200bf87b9f39--twins-triplets.jpg
 
6_(7).jpg

Ha Ram Unakera Yaani Hii Episode Umeeudhi Sana Ichi Kifo Umejitakia Unamfanya Bae Analia Tuuh...Umekuwa Mbishi Kama Huyu Mtu mjr95 Yaani Amekuwa Mtu Wa Kukumbusha Ukae Mbali Na Aya Mambo Lakini Uelewi Lol! Nimeumia Kweli Black Alivyokuwa Analia Daah! Hii Drama Nipe Break Basi Nakuwa Kama EMPTY
Han atakufa?
 
NOTHING TO LOSE Ingizo Jipya Itafuteni Jamani Maana Nimecheka Mpaka Mbavu Zauma Etiii.
jina jengine inaitwa judge vs judge kama sijakosea, basi juzi kuna rafiki yangu alinichukua ofisini kwake anakofanyia kazi, nilipofika si nikakuta internet yenye kasi kilichotokea ilikuwa ni balaaaa.
wao washazoea wakikaa ofisini watembelee facebook, jamiiforums, mpekuzi huru, wasome magazeti na mambo mengine ya kawaida ila kwa akili yangu ya dk shika ndani ya masaa 5 niliokaa nilidownload episode kama 60 za korean drama.
hahaahahaaaa hapa nilipo drama inayokaaa mbele yangu ndio ninayoangalia kwa jinsi zilivyo nyingi.
  • black drama : episode 6 sijaziangalia na ninazo kwenye pc.
  • because this is my first life : episode 11,12,13,14 sijaziangalia na hii ndio drama bora kwa cable tv kwa uoni wangu
  • judge vs judge : episode zote 4 ninazo lakini sijaziangalia na kwa kuwa aminas umenisifia basi ngoja baadae niitupie japo moja.
  • goblin : nimeangalia episode 2 na nimebakisha 14, daebak nimependa mtanange wa goblin na gream reaper. hongera kwake muandishi mwanama kim eun sook.
  • empress ki : kiporo changu cha muda mrefu tokea 2015 nimekirudia tena ila bahati mbaya sijaweza kukihifadhi chote (download), nimeangalia episode ya 31 lakini inanitia uvivu kwa sababu naiona kama imeshapita muda wake.
  • kings dream :kiporo changu cha 2014 na juzi nilibahatika kudownload episode 6 ila sijui nitaziangalia lini.
  • meloholic : nimedownload episode 6 za mwanzo lakini hata moja sijaiangalia.kama ni mbaya mjr95 utapata adhabu kwa sababu wewe ndio ulioisifia humu ndani.
  • joseon gunman : lee joon gi katika ubora wake angalau bado episode 4 sjazidownload.
  • the great king sejong : kiporo changu cha 2014 nimebakisha episode 24 kukimaliza.
  • mad dog : nimedownload mpaka ilipoishia wiki iliopita lakini hadithi yake ya mambo ya bima inanifanya niwe mvivu kuitazama na kuifuta sitaki
  • money flower : jang hyuk katika ubora wake ila na hii sijui nitaiangalia lini kwa sababu episode ya 1,3,4,5 zote ninazo lakini muda wa kuangalia ni mdogo.
  • secret garden :imenibidi niitafute kwa sababu wapenzi wa korean drama wa dunia nzima wanaipenda drama hii, kama dk shika pia naye anaipenda drama hii kwa nini mimi nisiitafute, ila sijui nitaianza lini maana huenda ikaoza kwenye hard drive yangu.
  • legend of the blue sea : kiporo changu cha mwaka 2016 pia nimeamua nikipashe moto aminas noona, Khantwe noona, EMPTY dongsaeng, mjr95 hyungnim naomba munialike maofisini mwenu.
aigooo I got goose bumps
 
Duuh hizo fujo sasa...si ulisema huangalii tena drama ya Jang Hyuk wewe au...? Jang Hyuk oppa ni kama maji usipoyaoga utayanywa [emoji23] [emoji23] nimekumbuka alivyokuwa anasema It's me, Gun then anaachia kicheko cha hatari daah unajikuta ghafla na wewe unaangua kicheko
 
hahahaaaaaa nimegeuka sungura.lakini kwenye money flower lile cheko lake kaambiwa apunguze
 
Acha basi kunitamanisha hujui mwenzio nipo kwenye zoezi la kupunguza ulevi wa hizo mambo
omo omo omo samahani.
ndio maana nimeamua nipitie thread hii mwishoni mwa wiki kuanzia sasa. nikipita mara kwa mara nitakuja kukuletea stori za choi jin hyuk na matokeo yake ukarudia tena ulevi.
 
jina jengine inaitwa judge vs judge kama sijakosea, basi juzi kuna rafiki yangu alinichukua ofisini kwake anakofanyia kazi, nilipofika si nikakuta internet yenye kasi kilichotokea ilikuwa ni balaaaa.
wao washazoea wakikaa ofisini watembelee facebook, jamiiforums, mpekuzi huru, wasome magazeti na mambo mengine ya kawaida ila kwa akili yangu ya dk shika ndani ya masaa 5 niliokaa nilidownload episode kama 60 za korean drama.
hahaahahaaaa hapa nilipo drama inayokaaa mbele yangu ndio ninayoangalia kwa jinsi zilivyo nyingi.
  • black drama : episode 6 sijaziangalia na ninazo kwenye pc.
  • because this is my first life : episode 11,12,13,14 sijaziangalia na hii ndio drama bora kwa cable tv kwa uoni wangu
  • judge vs judge : episode zote 4 ninazo lakini sijaziangalia na kwa kuwa aminas umenisifia basi ngoja baadae niitupie japo moja.
  • goblin : nimeangalia episode 2 na nimebakisha 14, daebak nimependa mtanange wa goblin na gream reaper. hongera kwake muandishi mwanama kim eun sook.
  • empress ki : kiporo changu cha muda mrefu tokea 2015 nimekirudia tena ila bahati mbaya sijaweza kukihifadhi chote (download), nimeangalia episode ya 31 lakini inanitia uvivu kwa sababu naiona kama imeshapita muda wake.
  • kings dream :kiporo changu cha 2014 na juzi nilibahatika kudownload episode 6 ila sijui nitaziangalia lini.
  • meloholic : nimedownload episode 6 za mwanzo lakini hata moja sijaiangalia.kama ni mbaya mjr95 utapata adhabu kwa sababu wewe ndio ulioisifia humu ndani.
  • joseon gunman : lee joon gi katika ubora wake angalau bado episode 4 sjazidownload.
  • the great king sejong : kiporo changu cha 2014 nimebakisha episode 24 kukimaliza.
  • mad dog : nimedownload mpaka ilipoishia wiki iliopita lakini hadithi yake ya mambo ya bima inanifanya niwe mvivu kuitazama na kuifuta sitaki
  • money flower : jang hyuk katika ubora wake ila na hii sijui nitaiangalia lini kwa sababu episode ya 1,3,4,5 zote ninazo lakini muda wa kuangalia ni mdogo.
  • secret garden :imenibidi niitafute kwa sababu wapenzi wa korean drama wa dunia nzima wanaipenda drama hii, kama dk shika pia naye anaipenda drama hii kwa nini mimi nisiitafute, ila sijui nitaianza lini maana huenda ikaoza kwenye hard drive yangu.
  • legend of the blue sea : kiporo changu cha mwaka 2016 pia nimeamua nikipashe moto aminas noona, Khantwe noona, EMPTY dongsaeng, mjr95 hyungnim naomba munialike maofisini mwenu.
aigooo I got goose bumps
Nawe Unavipolo Lol!!! Empress ki Ujamaliza Tuuh Mpaka Leo!?
Mi Nairudia Jumong kwa Mara Ya Tatu Lakini Kama ndo Naanza Iangalia..

Ivi Unaweza Amini Kuwa Nothing To lose Niliishusha Episode 1 jana Nilitaka Itest Nione Ikoje Nikajikuta Sijamaliza Episode ya Kwanza Uku Nashusha Ya Pili Sijamaliza Ya pili nashusha ya Tatu Sijamaliza Nikashusha ya 4 Sijamaliza Nikataka Shusha Ya Tano Nikakumbuka Kuwa Nisubilie Mpaka Jumatano Lol!!!!
Siku Jana Ilikuwa Ovyo Ila Nikajikuta Inaisha Nikitabasamu Kutoka Usoni Mpaka Moyoni Thanks KDRAMA..

Ila Ni Bonge la Drama,Bonge la Drama Nimecheka Sana Yaani...Yule Aduhi Wa Suspicious Partner Jina Lake Limepotea Amecheza Umu ndani Na Mambo Yake Yale Yale Bila Kusahau Mzazi Mlezi Wa Chang Wook Kwenye SP Na Bby Wangu Mwengine Mtarajiwa Woo Jin Naye Umu Yuko Kiromantic Kama Kawaida Yake.Ni Good Drama Kama Lakini Unapenda Ishu Za Mahakamni Na Sheria...
 
jina jengine inaitwa judge vs judge kama sijakosea, basi juzi kuna rafiki yangu alinichukua ofisini kwake anakofanyia kazi, nilipofika si nikakuta internet yenye kasi kilichotokea ilikuwa ni balaaaa.
wao washazoea wakikaa ofisini watembelee facebook, jamiiforums, mpekuzi huru, wasome magazeti na mambo mengine ya kawaida ila kwa akili yangu ya dk shika ndani ya masaa 5 niliokaa nilidownload episode kama 60 za korean drama.
hahaahahaaaa hapa nilipo drama inayokaaa mbele yangu ndio ninayoangalia kwa jinsi zilivyo nyingi.
  • black drama : episode 6 sijaziangalia na ninazo kwenye pc.
  • because this is my first life : episode 11,12,13,14 sijaziangalia na hii ndio drama bora kwa cable tv kwa uoni wangu
  • judge vs judge : episode zote 4 ninazo lakini sijaziangalia na kwa kuwa aminas umenisifia basi ngoja baadae niitupie japo moja.
  • goblin : nimeangalia episode 2 na nimebakisha 14, daebak nimependa mtanange wa goblin na gream reaper. hongera kwake muandishi mwanama kim eun sook.
  • empress ki : kiporo changu cha muda mrefu tokea 2015 nimekirudia tena ila bahati mbaya sijaweza kukihifadhi chote (download), nimeangalia episode ya 31 lakini inanitia uvivu kwa sababu naiona kama imeshapita muda wake.
  • kings dream :kiporo changu cha 2014 na juzi nilibahatika kudownload episode 6 ila sijui nitaziangalia lini.
  • meloholic : nimedownload episode 6 za mwanzo lakini hata moja sijaiangalia.kama ni mbaya mjr95 utapata adhabu kwa sababu wewe ndio ulioisifia humu ndani.
  • joseon gunman : lee joon gi katika ubora wake angalau bado episode 4 sjazidownload.
  • the great king sejong : kiporo changu cha 2014 nimebakisha episode 24 kukimaliza.
  • mad dog : nimedownload mpaka ilipoishia wiki iliopita lakini hadithi yake ya mambo ya bima inanifanya niwe mvivu kuitazama na kuifuta sitaki
  • money flower : jang hyuk katika ubora wake ila na hii sijui nitaiangalia lini kwa sababu episode ya 1,3,4,5 zote ninazo lakini muda wa kuangalia ni mdogo.
  • secret garden :imenibidi niitafute kwa sababu wapenzi wa korean drama wa dunia nzima wanaipenda drama hii, kama dk shika pia naye anaipenda drama hii kwa nini mimi nisiitafute, ila sijui nitaianza lini maana huenda ikaoza kwenye hard drive yangu.
  • legend of the blue sea : kiporo changu cha mwaka 2016 pia nimeamua nikipashe moto aminas noona, Khantwe noona, EMPTY dongsaeng, mjr95 hyungnim naomba munialike maofisini mwenu.
aigooo I got goose bumps
Aigooooo itizame hiyo Meloholic nahakika huto jutia mda wako wa kutizama hiyo kitu. Aisee ni zuri sana, Mapenzi ya humo aisee nimeyapenda balaa. Kuna watu wanapenda mpaka wanakuwa kama machiz, kisses za humo ni balaa tupu.

My Dear aminas tafuta hiyo kazi nahakika utagain chochote mule. UHURU JR thanks bro hii kazi iko poa sana.
 
Back
Top Bottom