Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongoing.
ANDANTE![]()
WISE PRISON LIFE (Hii ni Comedy)![]()
DOUBTFUL VICTORY![]()
TWO COPS![]()
WITH'S COURT![]()
REVOLUTIONARY LOVE![]()
THE PACKAGE![]()
Ni Comedy mkuu. Pitia na hiyo ya Doubtful Victory iko poa sana kama ulibahatia kuangalia Six flying dragons basi yule kijana wa kuitwa Muhyul ndio muhusika mkuu.Hiyo witch court nimeishia kuangalia episode moja,nataka nijaribu hiyo wise prison
Yule wa kwenye Rebel: Hong Gil Dong sio?Ni Comedy mkuu. Pitia na hiyo ya Doubtful Victory iko poa sana kama ulibahatia kuangalia Six flying dragons basi yule kijana wa kuitwa Muhyul ndio muhusika mkuu.
Yah ndo yeye.Yule wa kwenye Rebel: Hong Gil Dong sio?
NaamYule wa kwenye Rebel: Hong Gil Dong sio?
2015 - 2018.. it's almost been 3 years, Mkuu.Hakuna jipya kwenye ulimwengu wadrama kila drama itokayo naona theories ni zilezile hasa kdrama.. hivyo nilipumzika kuangalia drama toka 2015,my last drama was wat happened to my family...
Mimi ndio maana nimeamua kukaa kimya tu maana watu mitazamo tunatofautiana. Ninachoweza kusema ni kwamba wakorea wapo unique sana kwenye uigizaji wao aisee. Haijalishi stori ila Kdrama zina ladha fulani ambayo huwezi kuipata popote2015 - 2018.. it's almost been 3 years, Mkuu.
Hivyo sikubaliani nawe hapo kwenye bold.
Labda ulete ushahidi tosha kuprove hilo.
Si unaona hadi Damushin sunbae hajui chochote kuhusu Hollywood ila kwenye KDrama & K-Pop anatisha! Sio bure. Hahhahaaha.Mimi ndio maana nimeamua kukaa kimya tu maana watu mitazamo tunatofautiana. Ninachoweza kusema ni kwamba wakorea wapo unique sana kwenye uigizaji wao aisee. Haijalishi stori ila Kdrama zina ladha fulani ambayo huwezi kuipata popote
Mvumilivu siku zote hula mbivu.Ndio maana sipendi kuangalia ongoing drama, hapa naumwa kwa kuisubiria
View attachment 640970
Teh nilisema hii ya mwishoMvumilivu siku zote hula mbivu.
Una haraka ya nini maana si ulisema unataka kuacha kuwa mlevi?