Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu Sana ChinguNmefurah sana kuona Uzi huu duuh
Pole Sana Sana,Aigooooo Usijari Tuaze zichanga Zengine Za Seung Ji Na Chang Wook Ata Rae won Pia.aigooooo pesa zangu nilizihifadhi bandari ya dar, sasa bahati mbaya huyu mwenye nchi ameziona na nikimpigia simu hapokei.
kiukweli nipo frustrated
Hongera Oppa,..Uendeleee Kuwepo Daima InshaAllahnamshukuru Mungu kwa kunijaalia kutimiza miaka 2 tokea nilipofanikiwa kujiunga JF.
kiukweli sikupaswa kuziweka pongezi zangu kwenye thread hii kupitia jukwaa la entertainment ila imenibidi nifanye hivyo kwa sababu ujumbe wangu wa kwanza kuandika ndani ya JF niliuandika humu, hahahaaaaa hata kama itatokezea siku moja nimejaaliwa kuwa trillionair basi sadaka yangu pia itanibidi niianze humu.
kupitia JF nimejifunza mambo mengi mno na bado naendelea kujifunza mambo mbali mbali yanayoihusu dunia yetu tunayoishi.
kiukweli member wa mwanzo kumzoea ndani ya JF ni mwanadada Prishaz, simfahamu wala hanifahamu na japo kuwa sijachunguza background yake kupitia content thread zake ila namuona ni mwanadada mwenye hekima na maarifa makubwa sana, heshima kwako nuna.
nauanza mwaka wa 3 ndani ya JF hivyo basi kama kuna member yeyote niliwahi kumkasirisha kupitia maandishi yangu ambayo 80% nimeyaandika kupitia thread hii basi namuomba anisamehe kwa sababu mimi sijakamilika.
korean drama forever
nikimnukuu dk shika itapendeza zaidi kama ungelitaja drama zote ulizoziangalia zenye maudhui ya action ili iwe rahisi kuzitafuta na nyengine.Wakuu naomba mnipatie ka list cha latest drama ni mdau wa hizi vitu ila si mfatiliaji sana napokuwa free napenda kujumuika nazo hasa zinazotumia akili nyingi,action,na zinazo reflect maisha halisia kama city hunter,criminal mind,innocent deffendant ,three days na nyinginezo naomba mnisaidie latest za mwaka huu au hata jana zenye ladha hiyo sanasana ziwe za mjini
Sunbae,
hahahaaaaaa kuna waigizaji wa kiume hata kama binti ni kilaza basi atang'arishwa akitaka asitake,hivyo hivyo kwa muigizaji kilaza wa kiume akikutana na muigizaji hodari wa kike naye atang'arishwa akipenda asipende.Hahahahhahahah,Rae won ni bae kabisaaa
Khabari za Siku nyingi kwanza na pole na Kutingwa.
Sijawahi ona Iyo Bride ila Watu wengi sana Wanailalamikia aikuwa nzuri..
Ila humu ndani lazima Rae won bae Amn'garishe Uyu Binti ...Won yupo Vizuri wanamuita King of Romance akifatiwa na Min Ho
omo omo dongsaeng siku nitakayoonekana nyumbani nakula wali kwa kutumia chopsticks itakuwa ni balaaa huenda nikaambiwa nihame nikawatafute wachina niishi nao.Sunbae,
Unajua kutumia chopsticks?
labda kim rae won kwa sababu anaelekea miaka 37 lakini hao wengine bado kabisa kwenye suala la ndoa.Pole Sana Sana,Aigooooo Usijari Tuaze zichanga Zengine Za Seung Ji Na Chang Wook Ata Rae won Pia.
daebak, kuna maeneo ukiishi unasahau kabisa stress za gream reaper kama atakuja kuchukua roho yako muda wowote.Damushin Slovenia Patamu Etii,Watu Wanjua Kuvutia Watazamaji Wao...
hapo ndio unakata mzizi wote wa mawasiliano ya mchepuko wake kwa sababu.Uyu Mzee napenda tuh Ukorofi wake na kupenda Zake Ela...Uyu Bibi ndo kabisaaa..
Ila Nimependa Sana Akili za hyuk Oppa Umu ndani Etiii...Na Mo Hyun Nae nimependa Sana Swala La Kukubali Mtoto Wa Mme wake kwa Ujasiri Mkubwa Sana Yaani...Ningetamani Nasisi watz tuige Huu mfano Unamkubari Tuuh na Kumlea ndo damu ya Mume iyo..
Kabisaaa yaani unasahau ata kwamba uko duniani IPO Siku Utasepa..daebak, kuna maeneo ukiishi unasahau kabisa stress za gream reaper kama atakuja kuchukua roho yako muda wowote.
hahahahaaaaa ingependeza zaidi kama sisi masikini ingelikuwa hatufi.
Hahahahhahah!!! Utamaduni Siyo..labda kim rae won kwa sababu anaelekea miaka 37 lakini hao wengine bado kabisa kwenye suala la ndoa.
ni sisi tu waswahili na waarabu ndie tuna mawazo ya kuoa mapema eti ili tupate watoto mapema pindi tutakapozeeka waje watusaidie, utagundua asili ya maisha yetu mpaka tunakufa ni watu wa kutegemeana.
kwangu mimi kiupande fulani naona ni utamaduni mzuri na pia kiupande mwengine ni utamaduni wa kijinga.
Amin,InshaAllahamin kwa sote noona.
Iyo Namba 13 drma nilianzaga Vizuri ila Sijuh kilinikuta Nini Nikaiachia Katiii.nikimnukuu dk shika itapendeza zaidi kama ungelitaja drama zote ulizoziangalia zenye maudhui ya action ili iwe rahisi kuzitafuta na nyengine.
- https://ondramanice.io/drama/healer-detail
- https://ondramanice.io/drama/iris-detail
- https://ondramanice.io/drama/iris-2-detail
- https://ondramanice.io/drama/athena-goddess-of-war-detail
- https://ondramanice.io/drama/two-cops-detail : hii inaendelea
- https://ondramanice.io/drama/heartless-city-detail
- https://ondramanice.io/drama/bad-guys-detail : anza na hii kupitia (OCN)
- https://ondramanice.io/drama/bad-guys-age-of-evil-detail: season 2 imeanza jana kupitia (OCN). nimeangalia comment za mashabiki wanasema ni mwendo wa mapigano mpaka wakati wa ibada.
- https://ondramanice.io/drama/the-k2-detail
- https://ondramanice.io/drama/tunnel-korean-drama-detail (OCN)
- https://ondramanice.io/drama/signal-korean-drama--detail (OCN)
- https://ondramanice.io/drama/voice-korean-drama-detail (OCN)
- https://ondramanice.io/drama/secret-forest-detail :seoul best drama 2017. aigooooooo naomba uniagizie Bibimbap (Mixed Rice) na kinywaji cha Bokbunja ju ili nikumalizie
![]()
![]()