Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Ni kweli tunarudi Sote Hakuna Atakaebaki ila Baada ya yeye Mwenyewe kutuchukua,
Ila huyu Ameforci Mwenyewe,
Okay Kila kitokeacho kimepangwa Mola Amrehemu Amin.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli tunarudi Sote Hakuna Atakaebaki ila Baada ya yeye Mwenyewe kutuchukua,
Mi kaniuma Dooh! Nimeumia Sana Yaani Nmi ningekuwa Korea Nhisi ningeudhulia Kama Mashawol walojikusanya..Sijajua kwa nini Huu Msiba Umeniingia Kiasi hiki...nadhani itakuwa ni kazi lakini cha kushangaza yupo kwenye kampuni kubwa sana ya muziki.
ila depression haichagui masikini wala tajiri
Duuuh pole!!! Usivunje kitendee Kazi Pesa yake iyo aifanani na bando la kudownload tena,..jikaze Tuuh MkuuNimevurugwa drama yangu ya Beyond the clouds nimeifuta kwa bahati mbaya,natamani hata kuvunja hii laptonga.
Apo kwenye etc ni zinaendelea!?Nominees Announced For 2017 MBC Drama award
drama bora ya mwaka 2017
rebel thief who stole the people
man who dies to live
hospital ship
ruler master of the mask
i am not a robot
money flower
two cops
kings love
bad thief good thief
missing 9
guardian (look out)
Enemies From the Past
Teacher Oh Soon Nam
Return of Bok Dan Ji
e.t.c
Best Comedy Character
shin sung rok (Man Who Dies to Live)
jung kyung ho (Missing 9)
kim sun ho (two cops)
kim soo mi (man who set the table)
e.t.c
Male Popularity Award
jang hyuk (money flower)
jo jung suk (two cops)
yoo seung ho ( ruler master of the mask, im not a robot)
yoon kyung sang (rebel thief who stole the people)
e.t.c
Female Popularity Award
honey lee (rebel thief who stole the people)
chae soo bin (rebel thief, im not a robot)
ha ji won (hospital ship)
kim so hyun (ruler master of the mask)
yoonA (the king loves)
nyota iliong'ara stejini kwa miaka takribani 10, muda huu inang'ara mbinguni
![]()
So Goodbye Don't cry and smile
I need your love again...
inaumiza sana, munakaa na mtu munacheka pamoja, utani usiokwisha, mastori yasiokwisha lakini kumbe upweke umemjaa nafsini mwake.
nimeupenda wimbo wake wa good bye kwenye city hunter drama.
ameondoka na ametuacha sisi kwenye dunia yenye raha na ukatili ndani yake.
Karibu sana noona.!Nmefurah sana kuona Uzi huu duuh
Naona unalia lia sana kuhusu huyu jamaa kufariki kip kigeni hapo. Kifo ni lazima,Mi kaniuma Dooh! Nimeumia Sana Yaani Nmi ningekuwa Korea Nhisi ningeudhulia Kama Mashawol walojikusanya..Sijajua kwa nini Huu Msiba Umeniingia Kiasi hiki...
Pole sana mkuu, hiyo kitu niliwahi kuangalia kama epsd 2 hiv kisha nikaipotezea ngoja nikipata mda nitaichukua.Nimevurugwa drama yangu ya Beyond the clouds nimeifuta kwa bahati mbaya,natamani hata kuvunja hii laptonga.
Hawa jamaa Roho mbaya tu, mbona BLACK hamna na ile kitu ya MELOHOLIC.
Nominees Announced For 2017 MBC Drama award
![]()
drama bora ya mwaka 2017
rebel thief who stole the people
man who dies to live
hospital ship
ruler master of the mask
i am not a robot
money flower
two cops
kings love
bad thief good thief
missing 9
guardian (look out)
Enemies From the Past
Teacher Oh Soon Nam
Return of Bok Dan Ji
e.t.c
Best Comedy Character
shin sung rok (Man Who Dies to Live)
jung kyung ho (Missing 9)
kim sun ho (two cops)
kim soo mi (man who set the table)
e.t.c
Male Popularity Award
jang hyuk (money flower)
jo jung suk (two cops)
yoo seung ho ( ruler master of the mask, im not a robot)
yoon kyung sang (rebel thief who stole the people)
e.t.c
Female Popularity Award
honey lee (rebel thief who stole the people)
chae soo bin (rebel thief, im not a robot)
ha ji won (hospital ship)
kim so hyun (ruler master of the mask)
yoonA (the king loves)
Very well stated noona is so proud of you....
- ni kweli kuna raha yake kuzaa mapema lakini wengi wao ukiwauliza kwa nini unazaa mapema majibu yao nataka nipumzike mapema kuzaa ili huko mbele watoto wanisaidie kimaisha.hapa mtaani kwetu nina rafiki yangu amefunga ndoa mwaka uliopita na amebahatika kupata mtoto na kiumri amenipita kwa mwaka mmoja,inamaana akiingia kwenye umri wa utu uzima atakuwa na mtoto ambaye ameshakuwa kijana, inapendeza sana.
- lakini wengi wetu maisha ya ndoa tunayoishi ni mabovu sana na yana sikitisha na si sababu ni umasikini, utakuta mwanamme anamuachia mwanamke tu jukumu la kulea watoto, kazi kubwa anayoifanya mwanamme ni kuleta chakula na huduma nyengine za kifamilia tu.
- na ukimkuta mwanamke hajielewi ndio mtihani unaanzia hapo, huku zanzibar wasichana wengi wanaolewa wakiwa na miaka 18 -22, wakati huu ni umri ambao alistahili ajishughulishe kwa kujifunza japo fani ya ushonaji wa nguo ili huko mbeleni apate japo kujishughulisha na kuacha utegemezi kwa mwanamme.
- na wanaume wenyewe ndio sisi kina Damushin, tukitoka kwenye shughuli zetu za kutafuta riziki hatuna habari ya kuuliza hata watoto wameshindaje,hata mabuku ya skuli hatuyaangalii, tunakaa vibarazani na kupiga stori za CUF na CCM.
- Matokeo yake ndani ya miaka 10 ya ndoa muna watoto 5 lakini hana hata cherehani ndani ya kuwashonea nguo watoto hamuna .tafsiri yake ni kwamba miaka 10 ya ndoa ilikuwa ni ya kuzaa tu, lakini maendeleo sifuri kwa sababu kula, kuvaa hata kabla ya kuolewa au kuoa ulikuwa huduma hizi unazipata kwa mzee wako.
- huwa namwambia mama yangu ya kwamba siku nitakayo jaaliwa kuowa basi mungu anijaalie kwanza nipate mke mwenye kujielewa kimaarifa na ambaye atanivumilia kwa hali nitakayokuwa nayo, hata kama niwe masikini kama maisha yetu tunayoishi basi nitajitahidi nimpunguzie mzigo wa kulea familia.katu sitataka kuishi maisha kama wanayoishi jamii kubwa ya watanzania ya kumfanya mwanamke kuwa ndio kama mtumwa wa ndani ya nyumba.
ni vituo vya televisheni tofauti.Hawa jamaa Roho mbaya tu, mbona BLACK hamna na ile kitu ya MELOHOLIC.
Imeimbwa na nani?Yani nikiisikiliza iyo nyimbo goodbye ndo natamani kulia kabisaa
Mkuu nimekuelewa sikusoma vizurini vituo vya televisheni tofauti.
black na meloholic zimeonyeshwa na OCN ambayo ni cable TV
Apo kwenye etc ni zinaendelea!?
Drama of the year mi Apo ningeipigia Rebel,Money na kings love
Female apo angechukua uyu Binti alocheza kwenye rebel na Iam not robot Ambaye kacheza pia kwenye strong delivery man
Male ningempa hyuk Oppa na yule wa kwenye rebel
Very well stated noona is so proud of you....
Ni maombi yangu kuwa matamanio yako Mungu ayafanikishe. Halafu kumbuka kuwa harusi yako tutafanyia kisiwa cha jeju, embu ngoja nikazane kuomba.