Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
[emoji23][emoji23]Nimekasirikaje!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Nimekasirikaje!!
kesho kama kim seon ho ataamka akiwa ni mzima wa afya basi natabiri anakwenda tena kushinda tunzo ya best new actor kupitia KBS drama awards.ana ucheshi wa kipekee na ni suala la muda tu kabla hajawa muigizaji mkuu wa drama. anafiti sana kwenye romantic and comedy drama.Best New Actor Imeenda kwa Kim seon ho wa 2cops na Kim jung Hyun wa Rebel,
Uyu Kim Seon Ho Amaecheza Pia Kwenye Strongest deliveryman Yule second lead AnaStahili kiukweli.
hivi hawa waigizaji wadogo wanapata muda angalau wa kwenda skuli?Nam Da-Reum hajui kuharibu! Nilianza kumkubali kwenye 'Six Flying Dragons' kama Lee Bang Woon mdogo.
Lee Ro Woon, kwenye Rebel alivyokuwa kakasirika mwenyewe niliogopa. Hihihihi!
ahn gil kang fundi anayezeeka na ubora wake, muweke nafasi yoyote unayoijua basi atakufurahisha.hongera kwake kwa ushindiGolden Acting Award ndo Inafata Kachukua Ahn gil kang wa Bad thief gud thief na Shin Dong Min Wa Father I'll take care of You.
na kesho anakwenda kushinda tena tunzo akipenda mungu, ila huyu binti anapenda kupiga watu.hahahahahaaaaaaaaaaaChae So Bin My new girl Kachukua Nayeye.
Aji 3 [emoji23][emoji23][emoji23]na kesho anakwenda kushinda tena tunzo akipenda mungu, ila huyu binti anapenda kupiga watu.hahahahahaaaaaaaaaaa
![]()
team strongest deliveryman
aigooooo unamwitaje babu yangu kama ni mkorofi, mimi leo kiupande fulani sina furaha kwa sababu wiki hii sitamuona kwenye money flower pamoja na mwanama miss lee.Na yule Babu mkorofi wa kwenye Money flower ndo Alotangaza Iyo Tunzo Ya Best drama
Aji 3 huyo! Hahaha.na kesho anakwenda kushinda tena tunzo akipenda mungu, ila huyu binti anapenda kupiga watu.hahahahahaaaaaaaaaaa
![]()
team strongest deliveryman
Kwenye ngeli ananivunja mbavu huyu binti.Aji 3 huyo! Hahaha.
Halafu akiamua kuongea ngeli utampenda bure.
ni taarifa ya ukweli.Yah ili nalo nililisikia Kuwa Tvn wamestopisha Kurusha Mpka Watakapotangaza Nikajua ni Ulongo Nikawa Nasubiria Kuona Kama Kweli
Ngoja Tuone Kwanza.
Halafu basi yupo fluent ile mbaya! Hihihihi.Kwenye ngeli ananivunja mbavu huyu binti.
Vile tituko vyake Mi hoi aiseeHalafu basi yupo fluent ile mbaya! Hihihihi.
Hii nayo wiki hii haionyeshwi, sunbae?aigooooo unamwitaje babu yangu kama ni mkorofi, mimi leo kiupande fulani sina furaha kwa sababu wiki hii sitamuona kwenye money flower pamoja na mwanama miss lee.
![]()
Lol! Pole sanaomo omo omo
bakuli la urojo limenifanya niwe frustrated kama mzee wa chato