Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kiukweli tokea saa 10 nipo kwenye thread hii nafuatilia update kuhusiana na MBC drama awards, hongera kwako aminas noona kwa kutuhabarisha taarifa muhimu ambazo zinamhusu kila mpenzi wa korean drama, mungu akujaalie mwaka 2018 uwe na baraka zaidi kwako kuliko mwaka 2017.
pia nikuombe radhi kwa kupuuzia wito wako na kama sikosei umeniita mara tatu na katikati ya wiki pia niliona alert yako ila nimejifanya kama sijaziona alerts zako,
chingus baadhi ya nyakati inabidi tuvumiliane tu huwa inafika wakati huwa sina mzuka kabisa wa kuandika chochote na matokeo yake huishia kusoma comment zenu na kuishia kucheka peke yangu.
omo omo omo
EMPTY dongsaeng heshima kwako kwa kuamua kutumia muda wako kumpa sapoti noona naamini uwepo wako umempa hamasa na morali kubwa sana leo hii.
kwa kauli ya dk shika noona ingependeza zaidi kama ungeliweka na picha ya kila mshindi wa tunzo ila si mbaya umenifanya kila wakati nipitie google niweze kujua picha za baadhi ya waigizaji washindi.
hongera kwake mzee kim sang joon kiukweli amestahili tunzo ya grand prize, nilipokuwa naangalia city hunter nilimchukia sana huyu mzee kutokana na nafasi aliyoigiza na nilimuona ni muigizaji wa kawaida tu kumbe nilikuwa mjinga niliyevuka mipaka.
ila baadae nikapata nafasi ya kuangalia historical drama inayoitwa the jing birok: the memoir of imjin war ambapo alicheza nafasi ya waziri wa ulinzi akijulikana kwa jina la ryu seung ryong na alikuwa muigizaji mkuu, alinifuta ujinga na kunifanya kuwa mwerevu baada ya episode 50.
kitendo cha kutangazwa kuwa ni mshindi muda huu kimenifanya nikirudie kiporo changu cha rebel thief who stole the people japo episode mbili ambayo niliiacha episode ya 8.
Kim-Sang-Joong.jpg
 
Best New Actor Imeenda kwa Kim seon ho wa 2cops na Kim jung Hyun wa Rebel,
Uyu Kim Seon Ho Amaecheza Pia Kwenye Strongest deliveryman Yule second lead AnaStahili kiukweli.
kesho kama kim seon ho ataamka akiwa ni mzima wa afya basi natabiri anakwenda tena kushinda tunzo ya best new actor kupitia KBS drama awards.ana ucheshi wa kipekee na ni suala la muda tu kabla hajawa muigizaji mkuu wa drama. anafiti sana kwenye romantic and comedy drama.
Kim_Sun-Ho_%281986%29-p2.jpg


pia nategemea woo do hwan naye atashinda tunzo ya best new actor kupitia drama ya mad dog.uzuri wa wenzetu kama unaweza basi hawakubanii sana tofauti na afrika na MBC tayari wamempa offer ya kuwa muigzaji mkuu kwenye drama ya great temptation.
mddog4.jpg
 
Nam Da-Reum hajui kuharibu! Nilianza kumkubali kwenye 'Six Flying Dragons' kama Lee Bang Woon mdogo.

Lee Ro Woon, kwenye Rebel alivyokuwa kakasirika mwenyewe niliogopa. Hihihihi!
hivi hawa waigizaji wadogo wanapata muda angalau wa kwenda skuli?
nahofia isije kuwa ratiba zinawabana na matokeo yake wanakuwa watoro.
fikiria kama nam da reum mwaka huu nimemuona kwenye drama 3 tofauti.
doubtfull victory, king and loves, while you were sleeping,bad thief good thief.
ila hongera kwake
Nam-Da-Reum-01.jpg
 
Na yule Babu mkorofi wa kwenye Money flower ndo Alotangaza Iyo Tunzo Ya Best drama
aigooooo unamwitaje babu yangu kama ni mkorofi, mimi leo kiupande fulani sina furaha kwa sababu wiki hii sitamuona kwenye money flower pamoja na mwanama miss lee.
Sun_jae-lee.jpg
 
Back
Top Bottom