Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Na Ilitoka Mwaka Huo Kweli??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Ilitoka Mwaka Huo Kweli??
Ilitoka mwaka 2006. Hii drama inaelezea mambo yaliyotokea nchini korea kabla na baada ya vita vya pili vya dunia, tukio kubwa ni lile lililotokea mwaka 1950 hadi 1953 ambapo kim il sung na kabinet yake walipoamua kuamsha jeshi lake kutoka Pyongyang na kuipiga na kuichukua mji wa seoul uliokuwa chini ya president rhye na dola ya marekani (miguk). Pia inaelezea jinsi gani wajapan walivyoiachia ardhi ya korea na mengineyo mengi kama kubadilishwa kwa mpaka wa korea mbili kutoka 38 parallel na kuamishiwa pahala pengine kwa makubaliano ya kivita DMZ.Na Ilitoka Mwaka Huo Kweli??
Huyu mzee namkubali sana. Pia kacheza kwenye drama ya king dae joyeoung ya mkali choi soo jong, pia ktk drama ya jingbirok, the memoir of imjin war kama mfalme wa wae (emperor haedayoshi)Damushin Sunbae na EMPTY Sunbae mkuje huku kuna jambo nimegundua ya Six Flying Dragons. Yaani akawa mdogo alafu akawa sie mtu yule mwenye mienendo ya episodes za mwanzo. Mpaka sasa siamini kama ni yeye, hahaha huenda nikaamin kwa mbeleni.![]()
Aliye nishangaza zaidi ni Kim Kyu Chul.
aada ya kupewa Cheo cha Supervisor. Huyu Jamaa ni kituko![]()
mjr95.
hembu naombeni jina ya hii serioushili andiko lako nimelirejea kulisoma mara nne ndipo angalau nikapata cha kukujibu, kiukweli hili andiko limenifanya muda huu niitafute episode ya 11 hadi ya 15,wakati asubuhi nilisema nataka niiweke kiporo sasa kwa huu ushawishi wa andiko lako kwa nini nisikuite sunbaenim?
kiukweli nimevutiwa zaidi na urafiki wa tokea utotoni kati ya ryu seung ryong, yi soon shin na won kyun. huyu ryu seung ryong baadae anakuja kuwa na nyadhifa mbali mbali kwenye utawala wa mfalme seonjo na kwenye vita ya imjin war alishika nyadhifa ya waziri wa ulinzi na ndie aliekuwa akimpa support kubwa sana yi soon shin. baada ya kuona mfalme seonjo amekuwa na hofu na yi soon shin aliamua kuacha shughuli za kisiasa, kama sikosei episode ya 3 ya drama hii anaamua kupeleka barua ya kuacha kazi kwa mfalme seonjo.
aigooooo naomba jina la hii drama niicheki mamaana wengine hapa tunataka tujue maisha ya Korea ili tuje kwenda Ku suverve life huko Seoul or busanIlitoka mwaka 2006. Hii drama inaelezea mambo yaliyotokea nchini korea kabla na baada ya vita vya pili vya dunia, tukio kubwa ni lile lililotokea mwaka 1950 hadi 1953 ambapo kim il sung na kabinet yake walipoamua kuamsha jeshi lake kutoka Pyongyang na kuipiga na kuichukua mji wa seoul uliokuwa chini ya president rhye na dola ya marekani (miguk). Pia inaelezea jinsi gani wajapan walivyoiachia ardhi ya korea na mengineyo mengi kama kubadilishwa kwa mpaka wa korea mbili kutoka 38 parallel na kuamishiwa pahala pengine kwa makubaliano ya kivita DMZ.
Mkuu hapo unamsemea nani? Maana nimeongelea Kim Kyu Chul na Kim Myoung Min. Kama ni Kim Kyu Chul huyu jamaa ni moto kabisa anajua sana aisee. Napenda sana anavyo tulia katika nafasi anayo pewa kucheza kwakwel anauvaa uhusika vile itakavyo haswaa.Huyu mzee namkubali sana. Pia kacheza kwenye drama ya king dae joyeoung ya mkali choi soo jong, pia ktk drama ya jingbirok, the memoir of imjin war kama mfalme wa wae (emperor haedayoshi)
Namkusudia huyuMkuu hapo unamsemea nani? Maana nimeongelea Kim Kyu Chul na Kim Myoung Min. Kama ni Kim Kyu Chul huyu jamaa ni moto kabisa anajua sana aisee. Napenda sana anavyo tulia katika nafasi anayo pewa kucheza kwakwel anauvaa uhusika vile itakavyo haswaa.
Dae Jo Young ni drama niliyo itafuta bila ya mafanikio yoyote yale website zote nimepita lakin chakushangaza sijaikuta. Kama kuna website ama link Yenye hiyo Drama basi iweke hapa nikaishushe haraka sana.
King dae joyeoung Website ya kuipata siifahamu. Ila mm nilinunua DVD yakeMkuu hapo unamsemea nani? Maana nimeongelea Kim Kyu Chul na Kim Myoung Min. Kama ni Kim Kyu Chul huyu jamaa ni moto kabisa anajua sana aisee. Napenda sana anavyo tulia katika nafasi anayo pewa kucheza kwakwel anauvaa uhusika vile itakavyo haswaa.
Dae Jo Young ni drama niliyo itafuta bila ya mafanikio yoyote yale website zote nimepita lakin chakushangaza sijaikuta. Kama kuna website ama link Yenye hiyo Drama basi iweke hapa nikaishushe haraka sana.
Seoul 1945 drama ( 서울 1945 드라마)aigooooo naomba jina la hii drama niicheki mamaana wengine hapa tunataka tujue maisha ya Korea ili tuje kwenda Ku suverve life huko Seoul or busan
Naam Kim Kyu Chul yuko vizuri sana hasa ukute kacheza kama katili utapenda, uzuri anabadilika sehemu yoyote anacheza. Yuko vizuri sana huyo mzee.
Poa Ngoja Nikuangalizie...Huu uzi nilipotea sana kutoka kitambo, Now nimerudi
Cc. Aminas
noona naomba uniandikie list ya hottest korean drama za kuanzia june 2017 mpaka leo hii ila ziwe tayari completed sio on going.
ahsante
Cc. Aminas
Poa thanksPoa Ngoja Nikuangalizie...
Karibu Tena..
Na Pole Na Kupotea
Karibu.Poa thanks