DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
Song Il Gook Shares Adorable Video Of Triplets And Heartwarming Story About White Day
Mnamo Machi 14, Song Il Gook kupitia account yake ya instagram aliweka video ya watoto wake Daehan, Minguk, Manse waliovalia fomu za askari wa melini (sailor form) kwa ajili ya kuadhimisha siku nyeupe (white day)na pia walikuwa wanamtakia mapumziko mema mjomba wao ambaye amestaafu kazi ya ualimu.
song il kook pia alisimulia sababu inayomfanya aheshimu maadhimisho ya white day, aliandika
"nilimchumbia mke wangu siku ya christmass eve ila nilishindwa kupata majibu kutoka kwake siku hiyo,ilipofika white day (14/03) ghafla mke wangu alinirudishia pete yangu, kiukweli nilibaki kushangaaa na kujiuliza
mwalimu wangu wa shule ambaye baadae nilikuja kufahamu kuwa ni mjomba wa mke wangu alinisifia sana wakati alipokuwa akizungumza na wazazi wa mke wangu kuhusu mimi na mipango yangu ya kutaka kumuoa mtoto wao licha ya kuwa alikuwa anafahamu ya kwamba darasani nilikuwa na matokeo mabaya.
ukweli bila ya yeye leo hii daehan, minguk, manse wasingelikuwepo kwenye ulimwengu huu.
ninamtakia kila la kheri kwenye mapumziko yake
a h s a n t e s a n a m w a l i m u
Mnamo Machi 14, Song Il Gook kupitia account yake ya instagram aliweka video ya watoto wake Daehan, Minguk, Manse waliovalia fomu za askari wa melini (sailor form) kwa ajili ya kuadhimisha siku nyeupe (white day)na pia walikuwa wanamtakia mapumziko mema mjomba wao ambaye amestaafu kazi ya ualimu.
song il kook pia alisimulia sababu inayomfanya aheshimu maadhimisho ya white day, aliandika
"nilimchumbia mke wangu siku ya christmass eve ila nilishindwa kupata majibu kutoka kwake siku hiyo,ilipofika white day (14/03) ghafla mke wangu alinirudishia pete yangu, kiukweli nilibaki kushangaaa na kujiuliza
inamaana leo hii jumong ombi lake limekataliwa? (wakati huo alikuwa anaigiza drama ya jumong ambayio iliangaliwa na nusu ya wakorea).
ni tukio la dakika chache ila nilihisi kama miaka imepita, mke wangu aliniambia tafadhali naomba univalishe pete hii kwenye kidole changu.
nilifurahi sana kitendo cha mke wangu kunikubalia ombi langu lakini bado niliona napaswa kupewa ruhusa na wazazi wake.mwalimu wangu wa shule ambaye baadae nilikuja kufahamu kuwa ni mjomba wa mke wangu alinisifia sana wakati alipokuwa akizungumza na wazazi wa mke wangu kuhusu mimi na mipango yangu ya kutaka kumuoa mtoto wao licha ya kuwa alikuwa anafahamu ya kwamba darasani nilikuwa na matokeo mabaya.
ukweli bila ya yeye leo hii daehan, minguk, manse wasingelikuwepo kwenye ulimwengu huu.
ninamtakia kila la kheri kwenye mapumziko yake
a h s a n t e s a n a m w a l i m u
HAPPY 10th WEDDING ANNIVERSARY