Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Mtu Na Shemeji Yake!Song Hye Kyo And Park Bo Gum Confirmed To Star Together In New Drama
july 9, production company inayojulikana kwa jina la Bon Factory wamethibitisha ya kwamba waigizaji hao watashiriki kwenye drama ianyoitwa boyfriend.
ni stori itakayozungumzia maisha ya mwanadada cha soo hyun ambaye kwenye maisha yake hakuwahi kuwa na uhuru wa kufanya jambo analolihitaji kulifanya kutokana na shinikizo la wazazi wake ambao ni wanasiasa wenye ushawishi mkubwa sana, mwisho wa siku analazimishwa kufunga ndoa na mwanamme amabaye anatazamiwa kuwa mrithi wa makampuni yenye kuendeshwa kwa mfumo wa conglomerate (chaebol) na baadae wanaamua kuachana.
![]()
Cha Soo Hyun maisha yake yanabadilika baada ya kukutana na mwanaume wa seoul anayeitwa Kim Jin Hyuk na ukaribu wao wanajikuta wakiwa ni wapenzi.
Bon Factory ndio kampuni inayoisimamia drama ya whats wrong with secretary kim na kwa sasa wapo kwenye mazungumzo ili kutafuta uwezekano wa drama hiyo kuonyeshwa na kituo cha tvN.
project ya mwisho kwa mwanadada song hye kyo ni descendent of the sun na kwa upande wa park bo gum ni love in the moonlight.song hye kyo anamzidi park bo gum kwa miaka 12.
song joong ki na park bo gum ni marafiki wa karibu sana.
Kwaiyo Umu Kama Kuna Scene Za Kiss Watakiss Kweli?? Nauliza