DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
Mwenye uelewa wa namna ya kudownload drama za Korea hasa zile za historia naomba anifundishe
Sent using Jamii Forums mobile app
- fahamu jina la drama
- hakuna tovuti yenye historical drama pekee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye uelewa wa namna ya kudownload drama za Korea hasa zile za historia naomba anifundishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Badobado hazijatosha?
Asante Mkuu Niko Mbali na laptop yangu nazani kesho nikitoka kazini nitadownloadWatch free Drama Online at Dramanice
- fahamu jina la drama
- hakuna tovuti yenye historical drama pekee
Kama Mimi naona aibu tu kuchangia SAA nyingine naandika alafu nafuta yani naanza kuwaza nikiandika watu watachukulia vipi lakin napenda ningepewa kipawa hata robo ya chako cha kuandika kwa ujasiri, hizo aibu zimenifelisha mambo mengi lakin nishakosa njia ya kutatua. Mbali na hilo napenda kusoma maandishi ya watu makini.ok,unajua baadhi ya wakati hufikia wakati najiuliza
hivi humu ndani ni watu wawili tu ndio wanaofuatilia korean drama kipindi hiki?
ukija humu ndani unakuta wachangiaji ni watu wawili na wengineo wanapita na kuondoka. Ndio maana nataka nijaribu je inawezekana kuendelea kufuatilia korean drama kama wengineo munavyofanya lakini nikawa siandiki chochote kwenye thread hii?
binafsi sifanyi hivyo nionekane najisikia mbele ya wenzangu
hapana hapana hapana.musije mukawa na dhana kama hizo.
Kama Mimi naona aibu tu kuchangia SAA nyingine naandika alafu nafuta yani naanza kuwaza nikiandika watu watachukulia vipi lakin napenda ningepewa kipawa hata robo ya chako cha kuandika kwa ujasiri, hizo aibu zimenifelisha mambo mengi lakin nishakosa njia ya kutatua. Mbali na hilo napenda kusoma maandishi ya watu makini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ratings zimeshuka wikendi hii, wameamua kuweka mapenzi wakati Byun Hun mapenzi yamempita tayari. Jamaa limekomaa na kademu kadogoo wapi na wapi? balaa jingine lilikua la Goblin, yan Gong Yoo kakomaa na kadada kadogo.
Sidhani Kma ratings Zimeshuka kiasi Icho Kwa Last Episode Ya Wiki Ile ilikuwa 15.626% Na Last Episode Ya Jana Ni 15.023%Ratings zimeshuka wikendi hii, wameamua kuweka mapenzi wakati Byun Hun mapenzi yamempita tayari. Jamaa limekomaa na kademu kadogoo wapi na wapi? balaa jingine lilikua la Goblin, yan Gong Yoo kakomaa na kadada kadogo.
Mbona IPO NusuGet well soon brother
![]()
![]()
Episode ya 15 ilitoka 12 % kutoka 15 % ya episode ya 14. Episode ya 15 na 16 wameandika kuhusu ndoa ya Ae Shin na Kim Haesung kuvunjika, imeboa kweli. Najua cable ratings ni tofauti na public broadcast. Ila reply 88 na goblin kipindi hiki ratings zilikua na uwiano hazikushuka kwa asilimia 3Sidhani Kma ratings Zimeshuka kiasi Icho Kwa Last Episode Ya Wiki Ile ilikuwa 15.626% Na Last Episode Ya Jana Ni 15.023%
Kwanza Kwa Izi Ratings Hii Drama Inafanya Vizuri Sana Si Rahisi Kwa Cable Tv Kuwa Na Izi Ratings Mara Nyingi Huwaga Zinasimama Kwenye 4% Mpka 7%
Kwaiyo Mpka Apo Aipo Vibaya Sana.
Na kuhusu Kuwa Na Binti Mdogo Mbona Aijamshusha kiasi icho.Nakwanza umu Hayo Mapenzi Wala Si Sana
Hiyo mizigo miwili niya ukweli ile mbaya.Damushin Shine O Go Crazy Ni Mbadala Au Mwendelezo Wa Moon Lovers