Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

My Sassy Girl (TV series)
Set in the Joseon Dynasty period, a romance takes place between cold-hearted Gyun-Woo (Joo Won) and Princess Hyemyung who causes troubles.
My_Sassy_Girl_%28Korean_Drama%29-tp.jpg
Hiii Tayari..

Thanks, Ma Lovely Chinguya

Zimetosha.
 
ok,unajua baadhi ya wakati hufikia wakati najiuliza
hivi humu ndani ni watu wawili tu ndio wanaofuatilia korean drama kipindi hiki?
ukija humu ndani unakuta wachangiaji ni watu wawili na wengineo wanapita na kuondoka. Ndio maana nataka nijaribu je inawezekana kuendelea kufuatilia korean drama kama wengineo munavyofanya lakini nikawa siandiki chochote kwenye thread hii?
binafsi sifanyi hivyo nionekane najisikia mbele ya wenzangu
hapana hapana hapana.musije mukawa na dhana kama hizo.
Kama Mimi naona aibu tu kuchangia SAA nyingine naandika alafu nafuta yani naanza kuwaza nikiandika watu watachukulia vipi lakin napenda ningepewa kipawa hata robo ya chako cha kuandika kwa ujasiri, hizo aibu zimenifelisha mambo mengi lakin nishakosa njia ya kutatua. Mbali na hilo napenda kusoma maandishi ya watu makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a5c2816881b24f3fb57ca53dbaf331f0.jpeg

The first preview stills have been released for JTBC’s upcoming rom-com “The Third Charm” (working title), starring Seo Kang Joon and Esom.
The drama follows the two main characters, On Joon Young (Seo Kang Joon) and Lee Young Jae (Esom), across a 12-year love story, split into four seasons: their spring as 20-year-olds, summer as 27-year-olds, and fall and winter as 32-year-olds.
“The Third Charm” is set to air in September.
seo-kang-joon-540x360.jpg

esom-540x359.jpg

jamani hii september itazua balaa
 
Kama Mimi naona aibu tu kuchangia SAA nyingine naandika alafu nafuta yani naanza kuwaza nikiandika watu watachukulia vipi lakin napenda ningepewa kipawa hata robo ya chako cha kuandika kwa ujasiri, hizo aibu zimenifelisha mambo mengi lakin nishakosa njia ya kutatua. Mbali na hilo napenda kusoma maandishi ya watu makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
  1. kadri unavyo ogopa kujaribu woga nao huongezeka
  2. huwezi kuwa na marafiki wa ukweli kama unawaogopa marafiki maadui.
  3. maisha yako yote jaribu kutenda lile unalohofia kulijaribu
  4. maisha ya mwanadamu huanza rasmi pale anapoondoa woga wa kujaribu jambo
  5. hutakiwi kuogopa kukosea ila unatakiwa kujifunza kuepukana na makosa
  6. mwanadamu shujaa si yule asieogopa ila ni yule anayeushinda uwoga ( mandela)
  7. ni ushujaa kumsamehe mtoto anayeogopa giza ila ni ujinga kumsamehe binadamu anayeogopa mwangaza
  8. usiuruhusu woga kukurudisha nyuma kwenye harakati zako
hata mimi mwanzo nilikuwa na woga pengine zaidi ya kwako ila kadri siku zinavyokwenda mbele ndiyo nazidi kukiepuka kivuli cha woga humu ndani (JF)
 
Ratings zimeshuka wikendi hii, wameamua kuweka mapenzi wakati Byun Hun mapenzi yamempita tayari. Jamaa limekomaa na kademu kadogoo wapi na wapi? balaa jingine lilikua la Goblin, yan Gong Yoo kakomaa na kadada kadogo.
Sidhani Kma ratings Zimeshuka kiasi Icho Kwa Last Episode Ya Wiki Ile ilikuwa 15.626% Na Last Episode Ya Jana Ni 15.023%

Kwanza Kwa Izi Ratings Hii Drama Inafanya Vizuri Sana Si Rahisi Kwa Cable Tv Kuwa Na Izi Ratings Mara Nyingi Huwaga Zinasimama Kwenye 4% Mpka 7%

Kwaiyo Mpka Apo Aipo Vibaya Sana.

Na kuhusu Kuwa Na Binti Mdogo Mbona Aijamshusha kiasi icho.Nakwanza umu Hayo Mapenzi Wala Si Sana
 
Episode ya 15 ilitoka 12 % kutoka 15 % ya episode ya 14. Episode ya 15 na 16 wameandika kuhusu ndoa ya Ae Shin na Kim Haesung kuvunjika, imeboa kweli. Najua cable ratings ni tofauti na public broadcast. Ila reply 88 na goblin kipindi hiki ratings zilikua na uwiano hazikushuka kwa asilimia 3
 
Back
Top Bottom