View attachment 927445
kwa hizi going on drama unaangalia zipi?
usiniambie
the beauty inside drama huaingalii nitachukia sana kwa sababu naogopa utakuja kunitupia mzigo wa lawama.
hao waigizaji wenu uchwara wakiume wanaotamba kwenye rom comedy drama waambiane wajiandae kisaikolojia kumpa heshima huyu brother wangu
lee min ki, hizi project zake mbili amezitendea haki sana na inaonekana jamaa ana bahati ya kuchagua project nzuri kama
lee jong suk.
na bila ya kusahau waigizaji wenu wa kike wanaopewa promo sana na media watapata tabu sana kwa huyu bidada
Seo Hyun Jin a.k.a mke wangu wa ndotoni.
halafu humu ndani yumo
lee da hee ni mrembo na fashion zake ndio shidaaa, nitachukia sana kama
lee da hee na
Ryu Eun-Ho uhusiano wao ukashindwa kunawiri.
View attachment 927443
hadithi ya hii drama ni kwamba Han Se-Gye ana tatizo la kubadilika maumbile yake kila inapofika mwisho wa mwezi na seo do jae ana tatizo la kutokutambua sura.
nathubutu kusema hii ndio best romantic comedy kwa kipindi hiki.
NB:
kwa wadau wa korean drama tusije tukachanganya madawa kama movies za bwana yule na mjomba wake.
kuna
lee da hee na
lee da hae