Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ngoja nitafute kitanda changu cha kamba nilale naona wakorea washaanza kurusha makombora yao.
unadhani ni wakati gani sahihi kutumia neno (알았어 al-ass-eo = all right)
je kuna tofauti kati yake na (알았어요 al-ass-eoyo = ok)

kwa msaada wa google translator
Sijabobea kwenye hii lugha nipo kwenye hatua za mwanzo ila alassoyeo nadhani ni kama kiulizi
 
ngoja nitafute kitanda changu cha kamba nilale naona wakorea washaanza kurusha makombora yao.
unadhani ni wakati gani sahihi kutumia neno (알았어 al-ass-eo = all right)
je kuna tofauti kati yake na (알았어요 al-ass-eoyo = ok)

kwa msaada wa google translator
[emoji23][emoji23][emoji23] duuh kumbe kuna tofauti? Mimi wananifurahisha wanavyotamka ndio maana zile zilizotafsiriwa siwezi kuzipenda. Kuna ladha yake ukisikia wenyewe wanavyoongea
 
ukifanya masihara yako atakudhihaki muda wowote kuanzia sasa, kipindi fulani mtaani walikuwepo vijana wanajifunza kiingilishi basi ukizembea kidogo unasikia mother **** bitch nigga.
kupatwa kwa lugha.
Haha lol
 
kampeni yangu ya kuzifuatilia drama zilizokuwa zimekamilika itaendelea kama nilivyojipangia.
imenichukua siku tatu kuangalia episode 16 za drama inayoitwa misty.
sijui nitakuwa mwanamme mvumilivu kama bwana yule?
sidhani kama nitaweza kiukweli.

mchepuko wa zamani :hivi kweli unampenda mume wako
mwanamke: anasita kwa muda halafu anajibu, namhitaji (nyakati hizo alikuwa anahitaji nafasi ya msemaji mkuu wa ikulu)
halafu jamaa anayehitajiwa ndio anashuhudia kinachoendelea ndani ya gari, siku aliyobahatika kuiona black box yalikuwa ni maumivu makali sana.
kweli kupenda ni zaidi ya utumwa.

ukiondoa blood, misty, na dong yi kuna drama nyengine nzuri aliyoshiriki jin jin hee kwa aliyebahatika kuangalia?
nakumbuka mwanadada Nifah aliwahi kusema ni mshabiki wa jin jin hee ila sijui amekimbilia seoul baada ya vyuma kukaza

nataka niiangalie chicago type writer drama ya mwaka 2017

lee seung chul = painful love ost 1

Mara ya kwanza nilimuona kwenye Dong Yi baadaye kwenye Jewel in the Palace
Ni- actor mzuri.
 
Im Siwan Discharged From Army, Thanks Fans And Asks Them To Look Forward To His Upcoming Drama

On the morning of March 27, Im Siwan was discharged from the new recruit training battalion in Yangju where he served as an assistant instructor.

He said, “I can’t believe I’m out. When I go home today to sleep in my bed and I don’t wake up to the sound of a horn tomorrow, I’ll finally feel like I’m done.

Talking a little about his comeback project, which is an OCN drama adaptation of a webtoon called “Strangers From Hell” that he had confirmed for earlier this year, Im Siwan said, “My soldier friends told me that I fit the part well and recommended it to me first. It was amazing when I was offered the part. Please look forward to it.”

The drama is a thriller about a group of people who live together. When Yoon Jong Woo (played by Im Siwan) moves in, he notices strange things happening. “Strangers From Hell” is slated to air sometime in the second half of this year.
1553699913637.png
 
Nachoipendea Waikiki Ni Auta Cheka Tu! Lazima Kuna Kitu Utatoka Nacho! Vingi Nimejifunza Na Najifunza Pitia Hii Drama!
 
Back
Top Bottom