Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Song Joong Ki On “Arthdal Chronicles” Being A Challenge + Working With Jang Dong Gun And Kim Ji Won
1110919

  1. The press conference for “Arthdal Chronicles” was held on May 28 at Imperial Palace Seoul. Actors Jang Dong Gun, Song Joong Ki, Kim Ji Won, and Kim Ok Bin, as well as writers Kim Young Hyun and Park Sang Yeon were present.
  2. In the drama, Song Joong Ki plays Eun Seom, the brave progeny of a human mother and a Neanderthal, who lives among the members of the Wahan tribe and fights to save them from external threats.
  3. During the press conference, the actor said, “It’d be a lie if I said I felt no pressure. Reliable [Jang] Dong Gun hyung helped reduce that pressure. Hyung and I were close before we filmed the drama. We saw each other nearly every day for four months while working out. [His] reliability gently steeped in. I felt secure just by his presence on set.”
  4. Song Joong Ki also talked about working with Kim Ji Won for the second time after “Descendants of the Sun.” He shared, “I didn’t know because I didn’t have many scenes with her in the previous drama, but while filming together this time, there were several points where I got goosebumps from her great acting and saw her in a new light. You’ll know when you watch the drama. That’s why it felt even more reassuring.”
Arthdal Chronicles” premieres on June 1.
 
Attachments

  • 1559074936964.png
    1559074936964.png
    210.7 KB · Views: 30
The king's face ina uhondo
baba kama yule namtengenezea mtego akutane na watu wasiojulikana wapate kumla futari.
utanichukuliaje mchumba wangu kwa hoja ya kwamba ana nyota nzuri au sura nzuri ya kuzaa mtoto atakayeweza kurithi madaraka na pia kumpatia utulifu wa nafsi baada ya kifo cha malikia.
 
Supreme leader yaanii jamaa kama simba aise utamu wake nausikilizia kisogoni
  1. yeon gaesomun alikuwa ni miongoni mwa mashujaa wa goguryeo wa kukumbukwa na vizazi.
  2. yeon gaesomun pia alikuwa ni chanzo cha kuanguka kwa goguryeo kutokana na maamuzi yake ya ovyo.
inapofikia nyakati nchi inaongozwa kwa akili ya mtu mmoja basi taifa hilo linapaswa lijiandae na kupatwa na dhoruba kali.
mara nyingi wale wanaojivika muamvuli wa kuwa na uchungu na nchi husika ndiyo huishia kuwa madikteta wa fikra na matendo.
yeon gaesomun, mugabe, hitler, mussolini, mzee karume, mobutu, kagame, comred mao tze tong n.k
 
pole sana kwa hii aibu iliokukuta mchana wa leo, umejaza viserengeti boyi kiasi ambacho wengine umeshawasahau utadhani wachumba zako wote ni identical twin.
nakuonea huruma dada yangu, kuna siku wataamua kujikusanya kwa pamoja then waje nyumbani kwenu wakuulize
hivi unampenda nani kati yetu?
umeamua kutufanya sisi mafala kwa kutudanganya kwa nyakati tofauti..
leo utatoa tu ukitaka usitake (nimekusudia jawabu)
Hahaha sunbae leo umeamua kunichamba lol sawa ngoja nianze kuwapunguza natakiwa nibakie na Wook pekee
 
baba kama yule namtengenezea mtego akutane na watu wasiojulikana wapate kumla futari.
utanichukuliaje mchumba wangu kwa hoja ya kwamba ana nyota nzuri au sura nzuri ya kuzaa mtoto atakayeweza kurithi madaraka na pia kumpatia utulifu wa nafsi baada ya kifo cha malikia.
King face niliitazama siku nyingi na niliishia episode ya 5, wala sikumbuki hata kidogo.
 
King face niliitazama siku nyingi na niliishia episode ya 5, wala sikumbuki hata kidogo.
yap stori yake ni fictious kiupande fulani japokuwa imejaribu kuangazia baadhi ya matukio ya ukweli kama vile
  1. imjin war
  2. changamoto alizokuwa akikutana nazo prince gwanghae kwenye harakati za kurithi madaraka ya baba yake ambaye ni mfalme sejo
  3. mfalme kuwa na mapenzi makubwa sana na hawara wake pamoja na mtoto wake mdogo kuliko watoto wake wakubwa.
 
Haha acha basi unataka waniue?
kwa nini wakutoe uhai wako?
tunaishi nyakati za uhuru wa kuchagua upendacho, dawa yao kila mmoja unampa location yake ya kukupata.

siku utakayojichanganya ukashare location kwa vijanadume wawili ndio utafahamu kwa nini wanaume wa korea wanapaka rangi za mdomo wenyewe munaita lipstick kama nipo sahihi
 
Weka ushabiki pembeni yupi ni mkali na drama za nani kali kati ya Choi soo jong Vs Song il gook
Choi soo jong:
Dae Joyong
King's Dream of Empire
Emperor of Sea
Taejo Wang(Emperor Wang)

Legend of Patriots
Imjin War 1592
The President n.k

Song il Gook:
Legend of Prince(Jumong)
A man called god
Lobbyist

Kingdom of the wind
Jang Yeong sil
Detective trouble n.k

Kazi ni kwako.

photo68919.jpg
47-01.jpg
 
yap stori yake ni fictious kiupande fulani japokuwa imejaribu kuangazia baadhi ya matukio ya ukweli kama vile
  1. imjin war
  2. changamoto alizokuwa akikutana nazo prince gwanghae kwenye harakati za kurithi madaraka ya baba yake ambaye ni mfalme sejo
  3. mfalme kuwa na mapenzi makubwa sana na hawara wake pamoja na mtoto wake mdogo kuliko watoto wake wakubwa.
Shukran kwa taarifa.
 
Baba ana tamaa yule ila sijaimalizia kila nikipata chance naangalia episode moja moja,ipo vizuri na nimependa ina ka scene kangu pendwa

Back
Top Bottom