Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Supreme leader yaanii jamaa kama simba aise utamu wake nausikilizia kisogoniNaungana na ww,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Supreme leader yaanii jamaa kama simba aise utamu wake nausikilizia kisogoniNaungana na ww,
Dah mimi bado nipo nyuma sana hiiDae jo young hii drama ni moto aise utamu wake sijawahii pata leo nimelalaa 4asubuhi tangia jana saa mbili asubuhi
Ndio ile hwarang?The king's face ina uhondo
Ina balaa lake hiyo ni kati ya series zangu za mwanzo kuziangaliaThe king's face ina uhondo
The king's face ina uhondo
Supreme leader yaanii jamaa kama simba aise utamu wake nausikilizia kisogoni
Hahaha sunbae leo umeamua kunichamba lol sawa ngoja nianze kuwapunguza natakiwa nibakie na Wook pekeepole sana kwa hii aibu iliokukuta mchana wa leo, umejaza viserengeti boyi kiasi ambacho wengine umeshawasahau utadhani wachumba zako wote ni identical twin.
nakuonea huruma dada yangu, kuna siku wataamua kujikusanya kwa pamoja then waje nyumbani kwenu wakuulize
hivi unampenda nani kati yetu?
umeamua kutufanya sisi mafala kwa kutudanganya kwa nyakati tofauti..
leo utatoa tu ukitaka usitake (nimekusudia jawabu)
Naomba ukija uniletee babeThe Crowned Clown,
nimeipenda sana story yake halafu sio ndefu sana so haichoshi kabisa.
King face niliitazama siku nyingi na niliishia episode ya 5, wala sikumbuki hata kidogo.baba kama yule namtengenezea mtego akutane na watu wasiojulikana wapate kumla futari.
utanichukuliaje mchumba wangu kwa hoja ya kwamba ana nyota nzuri au sura nzuri ya kuzaa mtoto atakayeweza kurithi madaraka na pia kumpatia utulifu wa nafsi baada ya kifo cha malikia.
Usijali babe umeipataNaomba ukija uniletee babe
hapana hapana endelea na msimamo huo huo wa kuwakusanya vijanadume vya seoul mpaka wakome kushobokea black beauty from kolomije at chato district.Hahaha sunbae leo umeamua kunichamba lol sawa ngoja nianze kuwapunguza natakiwa nibakie na Wook pekee
Haha acha basi unataka waniue?hapana hapana endelea na msimamo huo huo wa kuwakusanya vijanadume vya seoul mpaka wakome kushobokea black beauty from kolomije at chato district.
yap stori yake ni fictious kiupande fulani japokuwa imejaribu kuangazia baadhi ya matukio ya ukweli kama vileKing face niliitazama siku nyingi na niliishia episode ya 5, wala sikumbuki hata kidogo.
kwa nini wakutoe uhai wako?Haha acha basi unataka waniue?
Shukran kwa taarifa.yap stori yake ni fictious kiupande fulani japokuwa imejaribu kuangazia baadhi ya matukio ya ukweli kama vile
- imjin war
- changamoto alizokuwa akikutana nazo prince gwanghae kwenye harakati za kurithi madaraka ya baba yake ambaye ni mfalme sejo
- mfalme kuwa na mapenzi makubwa sana na hawara wake pamoja na mtoto wake mdogo kuliko watoto wake wakubwa.
baba kama yule namtengenezea mtego akutane na watu wasiojulikana wapate kumla futari.
utanichukuliaje mchumba wangu kwa hoja ya kwamba ana nyota nzuri au sura nzuri ya kuzaa mtoto atakayeweza kurithi madaraka na pia kumpatia utulifu wa nafsi baada ya kifo cha malikia.