Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ukisifia hii unatajiwa hebu itafute empress Ki ukisema kile ni empress ki. Nasubiria aje atakavyolalamika sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyinyi wote hamjuagi kuona drama Kali ofcourse Vagabond ni moja ya drama Kali ili sipingi hata me mwenyewe nimeikubali lakini unapofananisha na drama Kama Innocent defendent na Empress ki ni kuwakosea heshima waandaji wa hizi drama cos wametumia akili kubwa na ubunifu mkubwa na mtu yoyote amespecialized na mambo ya movie or series atakubaliana na me akiziona hizo drama.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee na wa jumong watasemaje bado wa parasite kila kona wanapata sifa zao

Parasite siwezi kuijudge cos sijaiona na nitakuwa muongo kwa kuijudge kwakuisifia au kuiponda na me sibabaiki na drama kusifiwa mfano mzuri watu waliisifia Sana Money heist na kuifananisha kwa ubora na Prison break ila nilivyokuja kuangalia hiyo money heist nikajiuliza hao walioifananisha na Prison break walikuwa walevi wa konyagi Nini? Kilichonishangaza zaidi imepata rate kubwa kuliko Prison break.Hapa ndo nikapata jibu kwanini jumlisha na msalaba Ina alama yenye kufanana lakini Ina majina tofauti na matumizi tofauti.
 
Na Ndomna Kila Mtu akapewa Macho Yake, Unachoangalia Wewe na Kukitafsir Si Lazima Kifanane Na Tafsir Ya Mwengine.

Uzuri Wa Unachoangalia Si Lazima Kiwe Kizuri Kwa Mwengine Pia.

Unavyosema Hiki Ni Kibaya Si Lazima Namwengine Aone Ni Kibaya,

Kwa Kifupi Mawazo Yako Si Lazima Yafanane Na Mwengine, Maono Yako Si Lazima Yafanane Na Mwengine, Uzuri/Ubaya Wa Unachoona Si Lazima Yafanane Na Mwengine.
 
Screenshot_20200308-234433.png

Hii Drama( Emperor wang gun) mpaka kuna wahusika nishawasahau. sijaimaliza lakini natamani niirudie, ndio kwanza niko Episode ya 170.
 
post: 34620231 said:
Sema unaangalia za kiboya ndomaana nenda kacheki hizi nitakazokutajia drama za Korea Vagabond, Innocent defendent, The Last, The empress ki alafu ulete mrejesho.

Hizi ulizotajiwa usiangalie mkuu utachukia vikorea endelea tu na movies zako
Sijawai amin movies or series outside holywood, or wateva,

Kila nikiangAlia sjui china, korea india, naona kasoro tuu
 
Vuta uangalie,hutaki google uone

Tusije anza mjadala wa defendant na empress k
Bando langu natumia kwa burget so ni vizuri akaniambia kwa kifupi hiyo drama Ina uhusiana na Nini ili nikivutiwa niende kuangalia nifanyie Kama ulivyonifanyia Kama ile"VIP" ulini hadithia kidogo nikapenda na kweli drama ilikuwa nzuri na nikaimaliza.
 
Kitukuu cha daemusin hata mie sina bando la kuelezea. Kipindi kile sikufahamu najaza maji kwenye tenga hivyo huo mteremko haupo tena.

Back
Top Bottom