Warrior
JF-Expert Member
- Oct 2, 2015
- 737
- 765
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sun Woo Katuangusha Kwenye Hii Episode Tusompenda Psycho.
Japo Nimemuelewa Maisha ya Ndoa Si Rahis kiasi Icho Tunachozan.
Kamtetea Polisi na Mwisho Wa Episode Kaampa Nzuri. Lol!
hahahahaaaaaaheeeeeee (acha nicheke kipemba na kimakunduchi kwa wakati mmoja)
style yako ya kuangalia drama inafanana na simulizi za mlevi anayeagiza mzigo mwingi wa pombe haliyakuwa hana uhakika wa kumaliza kunywa (kinachotokezea ni hasara, masononeko na masikitiko ya ningelijua)
nimegundua huvutiwi na drama ambazo style yake ni mwendo wa utaratibu kama unasikiliza playlist ya mfalme mdogo wa ballad nchini korea mr sung si kyung, kibaya zaidi mwenzetu umekuwa ni legendary wa kufuatilia drama zilizokuwa completed,
unashusha project yote then unaanza kuiangalia, ikiwa mbaya unaanza kukasirika...... ok, ok acha nikupe solutions (kazi kwako kama utazifuata hizi njia au utaendelea kupima matunda ya naroco kama mpishi wa gongo).
- download episode 5 kwa kila drama then iangalie mtiririko wake, ikitokezea umevutiwa nayo unakuja kuishusha episode zote zilizobakia (hii ndio mbinu ninayoitumia pindi ninapohitaji kuangalia drama zilizokwishapita).
- angalia going on drama( unaangalia episode 2 za mwanzoni, baadae unajitangazia matokeo.....oooohhhh! hii drama imenivutia hivyo basi nitakuja kuiangalia pindi itakapomalizika...........mhhhhhhhhh! hiii project ni mbovu)
pole rafiki....katafute papai umeze baada ya magharibi...... usiogope corona
udhaifu wa kwanza wa yule ahjumma ni kukosa familia ya kumliwaza na hata kumuunga mkono kwa lolote afanyalo (wazazi wake wameshafariki, hana wa kumtegemea isipokuwa mume wake na mtoto)
anahitaji mtu anayemuelewa zaidi kihisia na kuwa wazazi wake wameshaondoka kivyovyote nafasi yao itarithiwa na mwanadamu waliodumu pamoja kwa takribani miaka 12 ya ndoa yao.
na hiyo ndio karata muhimu zaidi anayoishikilia mume wake (aliamini na anaendelea kuamini ya kwamba hakuna maisha ya sun woo bila ya uwepo wake yeye licha ya kwamba alimzidi kimafanikio na connection)
kwa ufupi dunia ya yule mama imekuwa ni tupu,
ubongo wako unaweza kukwambia mapenzi yamekwisha lakini moyo wako ukapingana na uamuzi huo.
acha nimsikilize baek ji young na sauti yake nyororo...sauti yake huyu mama hainipotei, mwishoni mwa episode 12 nimeusikia huu wimbo
.endeleeni kuoa, endeleeni kuvunja mahusiano, endeleeni kurudiana, endeleeeni kukumbushia mechi zenu za zamani....
sasa nimeelewa kwa nini wahuni wa JF wanawaogopa single mother and father
=======================

Hata Sijui.fate or coincidence?🙅♂️🙅♂️🙅♂️
Ndo Nyimbo Zangu Hizi Nakomalizia Bandobingo....umeshakuwa legend
Akatutabirie Na Zile Mbegu Zitatoa Maua Kweli??na do == 나도
ngoja niende kwa mtabiri
ulishawahi kumfuatilia huyu bwana sung si kyung
hutojutia uamuzi wako........ningelikuwa na uwezo ningelikuwekea nyimbo zake zote nilizonazo
Kwenye Drama Ya Handsoma MINOZ.nikumbushe....mambo mengi
Umeiona Episode Ya Sita?bado sijaona ndani.....neno mbegu
wakorea bwana...hivi vijamaa vifupi vina tabu sana
the world of the married drama
The kiss scene at the end of Episode 12 has received 1.26 Million views as of May 4,3 AM KST on Naver TV

Ulimsemo Wa Wapendanao Wakigombana Ushike Jembe Ukalime Ndo Unaoenda Kutokea Kwenye Familia Ya Sun Woo Na Psycho.
Tutaeka Wapi Sura Zetu.
oooohhhhh!
kumbe leo ni blue Monday......
ni mimi peke yangu ndiye niliyeamua kuiangalia good casting drama humu ndani?
huyo wa katikati ni zaidi ya kichaa...
majasusi uchwara
View attachment 1439818
Jana nmebaki [emoji15][emoji15][emoji30]🤬🤬baada ya kuichek.Sun woo anapiga hatua mbili mbele tatu nyuma .
Hii drama wote wanazingua kasoro Min hyu seo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bonge la movieoooohhhhh!