Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

images.jpeg.jpg

Hatimaye nimeimaliza Safari iliyokuwa ndefu sana, Safari ya Episode 200.
Kituo cha Taifa (SK) KBS, iliwaghalimu miezi 24(2000-2002) kuirusha Drama hii.

Daemusin aliyenipa assignment hii, kama siku mnukuu vibaya... alisema, " aliianza 2015 - 2017"

Lakini miye niliianza June 1 ya mwaka 2019 kwahiyo ni kama miezi 11 na siku 26.
Nadhani nadhani yeye afanyae assignment na kuzimaliza kwa wakati humtia moyo mwalimu wake.

Hii Drama kuna baadhi ya washiriki nilikuwa nishawasahau Sura na uhusika wao kwa jinsi Drama ilivyokuwa ndefu.

Nimejifunza mengi sana humo ndani hasa kuhusu U-budha na Sutra zake, na masuala mengine yakawaida kabisa, hasa yaliyowatokea Wababe wetu Gung Ye(Mwanzishi wa Goryeo according to the Drama) na Kyeon Hwon ( Mfalme wa Bakje)
Lakini hii Drama ilikuwa imejawa sana na Watu wenye Vipaji na Ma- Genius; Choi Ung(Minister of Military in Goeyeo, Choi Son woo( Vice Prime minister of Bakje), Choi Jimong( Royal Advisor in Goryeo mzee wa nyota na ndoto), Captain Taepypng ( Military Advisor in Goryeo) na wengine wengi.
Bato ya Waziri mkuu msaidizi wa Bakje na Dogo mwenye akili nyingi( Choi ung), Hawa jamaa walikuwa wanapendana kinoma licha uhasama wa Nchi zao, na walikuwa wanajuana kuwa wote ni wakali .
Lakini Urafiki wa Kyeon Hwon kwa Wang gun n.k
Uovu wa Gung ye ndio unakumbukwa zaidi kuliko Wema wake hapo awali.

Hii kitu lazima nitairudia huko
mbeleni.

inaitwa... Emperor Wang Gun
 
“the power of the father.”
hizi projects (marry me now, father is strange, my golden life, what happened to my family) pia zinajaribu kutukumbusha, kutusahihisha na kutufunza wanaume juu ya wajibu wetu wa kusimamia na kuongoza familia zetu. Wengi wetu tumekuwa tukijificha kwenye kivuli cha kuwa na majukumu ya kutafuta riziki au kipato cha kila siku cha kuendeshea familia zetu na hatimaye tumekuwa tukiwaachia shughuli zote wanawake.

ukiziangalia project zote hizo wametumia wahusika wenye umri mkubwa kuigiza uhusika wa baba, kuna fundisho kubwa sana tunalipata kupitia tamthilia, kumbe wajibu wa baba kwa familia yake hauondoshwi na hoja ya umri.
baba anatakiwa kuamka mapema mpaka kufa kwake kinguvu,
anatakiwa kuwaandalia huduma zote muhimu watoto wake haijalishi wana umri wa miaka 30,
kabla ya kulala anafanya nao mazungumzo ili kufahamu mzunguko wao mzima wa kimaisha.
ataendelea kuwa mshauri nasaha kwa familia yake mpaka kufa kwake

  • mwanaume atawa-acha wazazi wake na kuungana na mke wake, watakuwa mwili mmoja (sijui nimeandika sahihi kwa mujibu wa bible).​
  • mwanaume ndie msimamizi wa mwanamke (quran)​

Neno power lina egemea pande zote mbili zinazokinzana (upande mwema na upande ovu)....... Naamini kuna sababu kubwa sana iliopelekea Mungu kumtaja kwanza mwanaume kwenye hizo nukuu, kwenye ulimwengu wa kimahusiano ya ndoa mwanaume huleta nguvu ya malezi na mwanamke huleta maisha bora ndani ya familia na kizazi lakini pia baadhi ya nyakati hutokezea ikawa kinyume chake.

Mungu ametupa wajibu mkubwa sana wanaume wa kulea na kuzisimamia familia zetu na wakati huo huo kuendeleza upendo kwa wenza wetu, njia moja muhimu ya kutimiza wajibu huo ni ile ya kuruhusu mawasiliano huru ndani ya familia (msikilize mwenza wako, kubali mawazo yake yalio sahihi)

upendo hautakiwi kuzeeka kwa sababu hutoka nafsini na si mwilini mwetu.
View attachment 1459102

mkuu hii picha vipi,
hawa wazee walikuwa hawajaoana au ni ndoa ya mtoto wao?

macho yangu yana makengeza
Waliishi bila ndoa

Wamefunga ndoa na drama inaisha
 
View attachment 1460299
Hatimaye nimeimaliza Safari iliyokuwa ndefu sana, Safari ya Episode 200.
Kituo cha Taifa (SK) KBS, iliwaghalimu miezi 24(2000-2002) kuirusha Drama hii.

Daemusin aliyenipa assignment hii, kama siku mnukuu vibaya... alisema, " aliianza 2015 - 2017"

Lakini miye niliianza June 1 ya mwaka 2019 kwahiyo ni kama miezi 11 na siku 26.
Nadhani nadhani yeye afanyae assignment na kuzimaliza kwa wakati humtia moyo mwalimu wake.

Hii Drama kuna baadhi ya washiriki nilikuwa nishawasahau Sura na uhusika wao kwa jinsi Drama ilivyokuwa ndefu.

Nimejifunza mengi sana humo ndani hasa kuhusu U-budha na Sutra zake, na masuala mengine yakawaida kabisa, hasa yaliyowatokea Wababe wetu Gung Ye(Mwanzishi wa Goryeo according to the Drama) na Kyeon Hwon ( Mfalme wa Bakje)
Lakini hii Drama ilikuwa imejawa sana na Watu wenye Vipaji na Ma- Genius; Choi Ung(Minister of Military in Goeyeo, Choi Son woo( Vice Prime minister of Bakje), Choi Jimong( Royal Advisor in Goryeo mzee wa nyota na ndoto), Captain Taepypng ( Military Advisor in Goryeo) na wengine wengi.
Bato ya Waziri mkuu msaidizi wa Bakje na Dogo mwenye akili nyingi( Choi ung), Hawa jamaa walikuwa wanapendana kinoma licha uhasama wa Nchi zao, na walikuwa wanajuana kuwa wote ni wakali .
Lakini Urafiki wa Kyeon Hwon kwa Wang gun n.k
Uovu wa Gung ye ndio unakumbukwa zaidi kuliko Wema wake hapo awali.

Hii kitu lazima nitairudia huko
mbeleni.

inaitwa... Emperor Wang Gun
Nasi unatupa kibarua hicho kimtindo?
 
Nasi unatupa kibarua hicho kimtindo?
Hahaha Jitie kitanzi mwenyewe.
Episode 200, Episode zake zina wastani wa Dk( 46- 62)

Huyo Monk Gung ye( ambaye aliianzisha Goryeo) huyo mwamba nilimkubali kwenye Meditation zake, akija ni mwendo wa "Mind reading" na kuchinja watu, Jamaaa alikuwa mkatili kinoma, Lakini pia aliwahi kuwa mwema kinoma vilevile.

Humo ndani scene za mapenzi ni chache sana kama Gosaeng za miaka 1000, ni mwendo wa Vita na ubabe + ubudha.
 
Leo nimejikuta Nakumbuka series ya BRIDAL MASK
Hasa hasa pale kaka MTU anafariki MBELE ya mdogo MTU.....

Kwa ambao hawajawai ionaa........ilikua IVI ..

Lee Kang To (Joo Won), the younger brother, is a rising star in the police force and works with the Japanese police to capture "Bridal Mask" a mysterious freedom fighter who fights for independence wearing a traditional Korean bride's mask. However, Kang To is unaware that his prey, "Bridal Mask" is in fact his older brother, Lee Kang San (Shin Hyun Joon). Kang To's life is irrevocably changed when Kang San is killed in front of his eyes by the Japanese police. The death of his beloved older brother drives him to take up the bridal mask of his fallen brother and fulfill his dream of freeing Korea from Japanese rule....

Embu tupia kipengele Chako Bora kwenye hii series.....
 
😁 Maneno ya kizungu sijayasoma ( Nimesoma juu na Chini).
 
Juzi hii Thread ilitimiza Miaka mitano, mwanzishaji siui alitokomea wapi yeye!!?!!...
Kama hujui baada ya twitter hii Thread ndio inafuata, kwahiyo nafurahi kuwa humu ndani na kujifunza pia.

Sote twajua Daemusin ndio mfalme wa humu ndani, hiyo iko wazi akubali, akatae, lakini huo ndio ukweli.
Akikosekana humu ndani panakuwa pa kinyonge.
 
안녕항세요! Annyeonghaseyo! Hello , kwa wale wanaotaka kujifunza Kikorea, ninauza vitabu vya kujifunzia kugha ya kikorea, unaweza ukajifudisha wewe mwenyewe ukiwa home, maana vitabu vinatoa muongozo mzuri kabisa kwa beginner. Vitabu ni soft copy nakutumia kwa WhatsApp 0764531080
 
Juzi hii Thread ilitimiza Miaka mitano, mwanzishaji siui alitokomea wapi yeye!!?!!...
Kama hujui baada ya twitter hii Thread ndio inafuata, kwahiyo nafurahi kuwa humu ndani na kujifunza pia.

Sote twajua Daemusin ndio mfalme wa humu ndani, hiyo iko wazi akubali, akatae, lakini huo ndio ukweli.
Akikosekana humu ndani panakuwa pa kinyonge.
Ndio mfalme wetu hapaswi kukataa
 
Comment yangu ilianza kutia nyama #62
 
Back
Top Bottom