Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahah eti robo episodeMwaka huu wakorea wameniweza kweli asilimia kubwa ya drama zipo slow. Ooh my baby episode ya 2 ikanishinda,dinner mate nikakurupuka nimeivuta yote basi ipo ndivyo sivyo kwa siku naiangalia robo episode.
Yote tyuuuhUpo jukwaa gani kwa wingi
zote sijaziangalia, kiupande wangu nahisi wakorea mwaka huu wamechoka ndio maana dozi imepungua 😛😛Mwaka huu wakorea wameniweza kweli asilimia kubwa ya drama zipo slow. Ooh my baby episode ya 2 ikanishinda,dinner mate nikakurupuka nimeivuta yote basi ipo ndivyo sivyo kwa siku naiangalia robo episode.
Kuna Queen Mother humo ana roho mbaya Mishil akasomenahitaji kuijaribu hii project
the moon embracing the sun, bila ya shaka wengi wenu mulishaiangalia
View attachment 1520106
now ni marehemuKuna Queen Mother humo ana roho mbaya Mishil akasome
Dah alikufa lini huyo mbibinow ni marehemu
kama ni huyu basi amefariki mwaka 2017.....Dah alikufa lini huyo mbibi
Yap ni huyo huyo alinifurahisha alivyovaa uhusika
episodes 12 imeendeleaje?
-------------------------------------------
autism spectrum disorder ni ugonjwa usiomzuia mwanadamu kupenda;
nimenusa harufu fulani ya wivu alionao kaka mkubwa (sang tae) dhidi ya mdogo wake(gang tae) na inaonyesha dhahiri ya kwamba gang tae si kwamba anampenda Ko Moon-Young akiwa kama muandishi wa vitabu bali anampenda kama mwanamke anayepaswa kuwa wake kiuhalisia na si ndotoni,
gang tae naye alipokuwa mdogo alikuwa na wivu sana dhidi ya kaka yake na sababu kubwa ni ile hali ya kaka kupendwa zaidi na mama kwa sababu mama yao alitaka gang tae awe zaidi ya mboni ya jicho yenye kumuangaza kaka muda wote, pia awe mtumwa au mlinzi wa sang tae kwa muda wote.
- kuna scene fulani koo moon young alitaka kulala pamoja na gang tae (baadae walilala pamoja) , sijui kulitokea mjadala gani yule bwana gang tae akamwambia brother wake pipes ya maji imepasuka ndio naitengeneza hivyo basi usitoke nje (kwa lengo asije kumuona yule binti), asubuhi walipoamka aligundua ya kwamba amedanganywa na mdogo wake (alikereka kwa sababu hapendi kudanganywa), ila kilichomkera zaidi ni kitendo cha binti kuvaa nguo za mdogo wake usiku kucha (kivyovyote alitaka binti azivae nguo za kwake yeye)
- kuna scene fulani gang tae alimyoa (kumkata) nywele binti koo moon young na alimsifia sana ya kwamba amependeza, lakini kaka mkubwa alipokuja na kumshuhudia binti na muonekano wake mpya alichukizwa (kwanini binti amekata nywele) na kilichomkera zaidi kwa nini mdogo wangu anadai ya kwamba binti amependeza
- gang tae alipomletea saini feki ya binti tulishuhudia hali ya kukasirika kwa kaka mkubwa sang tae
sang tae naye alikuwa na wivu dhidi ya mdogo wake na sababu kubwa ilikuwa ni afya (kwa nini nimezaliwa mgonjwa na si mdogo wangu).
ndio maana kwenye tukio la kuzama kwenye ziwa baridi kila mmoja alitaka kulipiza kisasi dhidi ya mwenzake
finally kwenye hilo tukio lililotokea hospitali ambalo sang tae anamlalamikia au kumpigia kelele mdogo wake mbele ya hadhira/hadhara (amezoea kumzodoa mdogo wake mbele ya hadhira/ hadhara) ya kwamba alimuacha akipiganie kifo chake kiuhalisia kaka mkubwa alikuwa anajizungumzia yeye mwenyewe (sote tunafahamu kilichotokezea ni kwamba yeye ndiye aliyemuacha mdogo wake).
- gang tae alisita kumuokoa kaka yake ili ajifie akiamini kifo cha kaka yake kitampunguzia madhila, baadae akaamua kumuokoa kwa huruma
- sang tae baada ya kuokolewa naye akaamua kumuacha mdogo wake kwenye ziwa baridi ajifie
kitendo cha gang tae kuwa karibu na binti hakileti tafsiri nzuri kiupande wake kwa sababu inaonekana dhahiri lengo lake ni kuwa pamoja na binti(rejea ule mchoro wa basi)
afanyeje ili amjengee muonekano mbaya mdogo wake:
acha nimzodowe mbele ya hadhara ndipo watu watakapomfahamu sura yake halisi,
oooooohhhhhhh! kumbe mdogo mtu alitaka kumuua kaka yake...... ndivyo watakavyosema wambeya na mafisadi vijisu na si viwembe
huyo wa mwisho hawezi kuwa ni sang tae (kaka) bali ni gang tae (mdogo) na huyo wa pembeni ni binti koo moo young ndivyo ninavyojiaminisha
simulizi ya sang tae na binti koo moo young inafanana na ule wimbo wa I DONT LOVE YOU ulioimbwa na Urban Zakapa (utatu mtakatifu).
ni rahisi kumpenda mtu ila ni vigumu sana kuingia naye kwenye mapenzi
Dah unasubiri nini?its one of my favorite katika historical love story.nahitaji kuijaribu hii project
the moon embracing the sun, bila ya shaka wengi wenu mulishaiangalia
😲😭😭jamani kwa list ya wamama naowaelewa naye yumo.apumzike kwa amani

Basi mi nilivyo tafsiri si tofauti sana
Naona kama Sang tae anachukia mtu mwingine kuingilia bond yao na gang tae kwa sababu for the longest walikua ni wenyewe wawili so ana depend sana kwa mdogo wake anaona akija mtu mwingine atauchukua upendo na care ya gang tae
Kumbuka mishil yeye ni mama wa action ,sijui na kwenye hiyo project action zipoKuna Queen Mother humo ana roho mbaya Mishil akasome
Heeeeh mbona kwa style hii utapitwa na vizuri vingi ndugu.af haka katabia umeniambukiza😭 kumbe ni endelevu.Jinsi mlivyoisimulia hata sijihangaishi kuivuta imeisha utamu utadhan nimeshaiona kama world of married story nzima ipo humu. Bora mmenishtua mapema.
wow, huenda upo sahihi, he just really idolizes her kama muandishi wa comic books na si vyenginevyo.... His reaction pindi anapomtaja moon young kama ni rafiki yake kipenzi huenda anamaanisha ni kama vile mchezo wa kitoto pindi anapoletewa zawadi nzuri inayomjaza furaha nafsini.Basi mi nilivyo tafsiri si tofauti sana