Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nzuri mnooooo, ila umbea hata huku umo jamani nachekaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Itaewon mbona nzuri tu? Icheki inani inspire sana kupigania ndoto zako na kusimamia unachokiamini [emoji1430][emoji1430]

Sent from my iPhone using JamiiForums
Sure itaewon ina inspire sana hata mm nafkiria kuanza biashara asee
 
Series au movies za kikorea na mm ni kama paka na panya, sijawahi kuvutiwa nazo.
Naheshimu ukisemacho, lakini Sidhani kama kuna mtu alikuuliza ndugu, na pia hii ni thread kwa Wapenzi wa Korean Drama. Nadhani kama hawakuvutii huna haja ya kuingia mahala ambapo huvutiwi napo. Mfano mie si mpenzi wa series au single za kimagharibi, bali navutiwa zaidi na Series na single toka Asia ya mbali, kwa kujua hilo wala sijawahi kwenda kuandika kwenye thread au kufungua thread yao sababu najua sipo interested na movie toka huko. Kwahiyo naheshimu mawazo na mapenzo yao. Anyway karibu kama utaanza kuvutiwa nao, nasi bila hiana tutakupa list.
 
Pamoja mkuu
 
Back
Top Bottom