Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Vocha tunazipenda ila sasa akina anonymous milele tunasema asante zitumie tu kuongezea bando

ingia hapa

kisha utatype drama unayoitafuta. mfano nimeitumia jumong. ikija utaclick episode ya kwanza. kisha hakikisha yale maandishi ya juu unjano upo kwenye FE kama hapo pichan ikikaa hivyo click hapo kati itaanza kuplay na kukuletea kamshale ka kudownload click hapo utakua umeanza safari ya kudownload
Screenshot_20210630-223028_1.jpg

huko pengine itabidi ujiongeze tu ila pote ni rahisi kudownload for free na drama zoote zipo cha msingi ufahamu jina la drama husika
Wadau naomba mnipe site ninayoweza ku download ancient Korean Dramas (zile kama Jumong n.k) for free.

Atakae niwezesha kupata pa kudownload nitamtupia voucher.
 
Vocha tunazipenda ila sasa akina anonymous milele tunasema asante zitumie tu kuongezea bando

ingia hapa

kisha utatype drama unayoitafuta. mfano nimeitumia jumong. ikija utaclick episode ya kwanza. kisha hakikisha yale maandishi ya juu unjano upo kwenye FE kama hapo pichan ikikaa hivyo click hapo kati itaanza kuplay na kukuletea kamshale ka kudownload click hapo utakua umeanza safari ya kudownloadView attachment 1836081

huko pengine itabidi ujiongeze tu ila pote ni rahisi kudownload for free na drama zoote zipo cha msingi ufahamu jina la drama husika
Asante mkuu. Ngoja nijaribu hapa kisha nitakupa mrejesho.
 
Vocha tunazipenda ila sasa akina anonymous milele tunasema asante zitumie tu kuongezea bando

ingia hapa

kisha utatype drama unayoitafuta. mfano nimeitumia jumong. ikija utaclick episode ya kwanza. kisha hakikisha yale maandishi ya juu unjano upo kwenye FE kama hapo pichan ikikaa hivyo click hapo kati itaanza kuplay na kukuletea kamshale ka kudownload click hapo utakua umeanza safari ya kudownloadView attachment 1836081

huko pengine itabidi ujiongeze tu ila pote ni rahisi kudownload for free na drama zoote zipo cha msingi ufahamu jina la drama husika
Screenshot_20210701-072422_Chrome.jpg

Mambo safi. Asante mkuu.
 
Nilivyokua mgeni humu nilikua nawaonea wivu kuwa mshaangalia kila aina za korean drama ndo maana mnaenda sambamba na ongoing.

Nilishaiangalia nzuri hio family drama
Aah wapi mimi drama nyingi maarufu sijaangalia. Na huwa sifuatilii ongoing...drama pekee niliyoangalia ongoing ni vincenzo tu nayo kwa kuwa ilikuwa na kelele sana na nimeanza kuangalia wakati imeshafika episode kumi na kitu huko na While you were sleeping nilimuiga @Daemusin.
My golden life nimeiangalia kati ya mwaka huu mwanzonI au mwaka jana mwishoni.... mpaka leo sijapata tena drama iliyonitoa machozi kama ile
 
korean dramas first half (January to June)
1. My sassy girl
2. Temptation
3. Second to last love
4. Good doctor
5. I have a lover
6. One warm word
7. Jewel in the palace
8. Undercover
9. Taxi driver

10. 3 days
11. Mine
12. Rain or shine
13. The great seer
14. Master’s sun
15. Jealousy incarnate
16. Move to heaven
17. memory
18. the lady of dignity/ woman of dignity

wino mwekundu: project za mwaka 2021
wino kijani: project ninazoziangalia kwa sasa

nilifikiri nimepunguza dozi ya kuangalia wakorea, kumbe nimepunguza dozi ya kufuatilia project za mwaka husika.
gwenchanah gwenchanah
 
Unaangaliaje drama tatu kwa mpigo? Mimi sasa hivi nipo na undercover. ..kwenye hiyo list yako nimeona Good Doctor tu.
Mimi watchlist yangu hii..
Hiyo mine nahisi nzuri nitaiongezea
Screenshot_2021-06-29-10-16-28.png
 
Unaangaliaje drama tatu kwa mpigo? Mimi sasa hivi nipo na undercover. ..kwenye hiyo list yako nimeona Good Doctor tu.
Mimi watchlist yangu hii..
Hiyo mine nahisi nzuri nitaiongezea
View attachment 1836524
kwenye list yako nimeangalia project 11.
huwa navuta episode 5 kwa kila drama husika, kama nimevutiwa nayo naimalizia yote
 
THE VAIL
is a new blockbuster action drama starring Namgoong Min as Han Ji Hyuk, an elite field agent at the NIS (National Intelligence Service). After going missing for a year during a mission to eliminate an organized crime syndicate, he makes a bold return to the organization to find the traitor who dropped him into hell.

first teaser
 
penthouse au sky castle nyengine inakuja

The Tragedy of One” first airs August 4, 2021
A story of the secrets, desires, guilts and salvation of residents who live at “Royal the Hill,” a place where only the top 1 percenters live.
starring : Ji Jin-Hee + Yoon Se-Ah + Kim Hye-Eun
1625133325419.png
 
Family drama nyingi zina hisia na story zinazogusa maisha ya kila siku. Japo zina episode ndefu ila kwangu ndo home sweet home nazipenda. Ila nimejaribu kuvuta kumbukumbu sehemu yenye huzuni sijaiona au labda sinaga hisia za huzuni sana. Ukipata muda angalia father is stranger nayo nzuri

Back
Top Bottom