Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahah na wewe kama mimi drama zenye season mbili na kuendelea huwa najitahidi kukaa nazo mbali
Asante mamie kwa ile app ulionipa najipakulia manyama ile mbaya nilichogundua ile tatizo la subtitle niliyokueleza ilikuwa ipo kwenye The veil pekee hasa episode ya 4.Hii app kiboko unapata mb ndogo na ina quality kubwa tofauti na ya server ile ya chini kabisa ya kisaasian.Yaani ningekuwa tupo face to face ningekukiss bibie kwa hii zawadi ulionipa mpaka najiuliza nilikuwapi kutoijua hii app basi chukua hiyo ๐Ÿ’–๐Ÿ’–๐Ÿ’–๐Ÿ’– na hii ๐ŸŒน
Numbisa
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hata sijui nachekea nini. Inno umekunywa pombe gani leo

Numbisa hiyo ni message yako kabisa pokea shukrani zangu kwako.
Ni wako mtiifu
By Innocent
 
  1. because this is my first life
  2. Crash Landing On You
  3. you are my spring
  4. touch your heart
  5. her private life
  6. that winter the wind blows
  7. boyfriend (encounter)
  8. descendant of the sun
  9. while you were sleeping
  10. the beauty inside
  11. what's wrong with secretary kim
  12. ---------------------- n.k
Because this is my first life. Hii ndiyo drama ya muda wote
 
naendelea kujifunza taaluma ya biashara kwa njia ya maigizo, kuna project inaitwa the great merchant kim man deok ndio naangalia kiuvivu (stori yake si nzuri sana).
Inakupa hadithi ya mwanamama kim man deok aliyepata kuishi ndani ya tawala ya Joseon kuanzia mwaka 1739 hadi 1812, akiwa na miaka 12 ndani ya visiwa vya Jeju alilelewa na mkuu wa gisaeng (wanawake waburudishaji) na hatimaye akasajiliwa kama ni gisaeng anayetambuliwa na serikali mpaka hapo alipojitambua ya kwamba kumbe ana kipaji kikubwa sana cha kufanya biashara kuwahi kutokezea ndani ya korea.

tukio kubwa na la kukumbukwa alilolifanya nyakati za uhai wake na kuacha taathira njema na ya kukumbukwa kati ya kizazi kimoja hadi chengine mpaka anatengenezewa drama ni hili:

mwaka 1795 ambao ulikuwa ni mwaka wa 19 wa kiutawala wa mfalme jeongjo (Yi San), visiwa vya jeju vilikumbwa na tatizo la ukame uliopelekea jamii kubwa ya raia kudumbukia kwenye umasikini wa njaa, huyu mama aliamua kuziuza asilimia 90 ya asset zake na hatimaye kiwango hicho cha mali akawazadia wananchi.
kwa mujibu wa wikipedia wanasema hicho kiwango cha mali alichokigawa kama utapiga thamani ya fedha za muda huu unapata won billioni 70 au $60 million dollars (takribani billioni 138 za kitanzania kama nitakuwa sahihi).
MV5BNmM2ZjZkYmQtN2MwNy00ZWQ0LTljZDYtMWZmOTM4YzRmNTMyXkEyXkFqcGdeQXVyMzE4MDkyNTA@._V1_.jpg

Nilikuwa kimya sababu nilikuwa siwezi kulike wala ku - reply , ni bahati njema kuwa Jf wamelishughulikia japo walichelewa sana.

Hata mie mwenyewe ndio plan yangu najifunza Biashara kupitia series na hapa ndio napata kuona ushuhuda tulichokuwa tunakisoma kwenye ENTREPRENEURSHIP.
Hiyo series nitaitafuta marabaada ya kumaliza hizi nazofuatilia hivi sasa. Hii ni moja ya list ya series za uchumi na Biashara na ujasiliamali nilizowahi kuziona.
Money Game
Money flower
Fashion King
Emperor of the sea
Sangdo

Lakini pia hizi za masuala ya kitabibu ni zinanivutia.

Dae Jang Geum( Jewell in the Palace)
Hur Jun
Dr. Jin( ingawa sijaimaliza niliishia episode ya 05)
 
Ebu nijuze, ni app gani hiyo?
Ni website inaitwa nkiri.com unapata korean drama, Hollywood movies pamoja na series kwa mb ndogo Tena yenye video quality kubwa.Enjoy kijana anza tafuta korean drama moja hivi inaitwa " The Veil" ni ogoing drama ni Kali ile mbaya kama uliipenda Vagabond hii utaipenda zaidi ina story inayovutia, ina action ya nguvu mimi ni rafiki yako Innocent Dependent now natumia jina Hili SteveMollel
 
Hahaha, Mtu yuleyule ndani ya vazi jipya. Anyway Ngoja nianze kuutafuta huo mzigo
 
Hahaha, Mtu yuleyule ndani ya vazi jipya. Anyway Ngoja nianze kuutafuta huo mzigo
Wahi haraka na hautajuta kabisa hiyo drama ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ kila episode inapoisha unabaki na kimuemue Cha kuucheki next episode.Ni aina fulani ya drama ambapo mwanzo wake inapoanza tu unajua hii ni Kali ina amsha amsha mwanzo mpaka mwisho haina kupoa.
 
Hahaha, Mtu yuleyule ndani ya vazi jipya. Anyway Ngoja nianze kuutafuta huo mzigo
Mzee baba hiyo drama ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ hautajuta kabisa kupoteza mb zako alafu utakuja kunishukuru, baada ya kumaliza drama yangu nikawa nalazimisha kupata nyingine nzuri fortunately nimeipata hiyo na kizuri chake kwangu The Veil ndio best korea drama kwa mwaka Huu kwa upande wangu na pia imeshaingia kwenye list yangu ya best korean all time.Ni aina ya drama ambao mwanzo tu inapoanza unaona kabisa ni Kali na kizuri zaidi kila episode inapoisha unabaki na kimuemue Cha kucheki next episode.
 
Back
Top Bottom