Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

•Jewel In The Palace/Dae Jang Geum(2003)-Lee Young Ae
•Saimdang:Memoirs Of Colour(2017)-Lee Young Ae
•Painter Of The Wind(2007)-Moon Geun Young
•Jung Yi:Goddess Of Fire(2013)-Moon Geun Young
•King's Daughter Soo Baek Hyang(2013)-Seo Hyun Jin
•Dong Yi(2010)-Han Hyo Joo
•Hwang Jin Yi(2006)-Ha Ji Won
•Empress Ki(2014)-Ha Ji Won
•Hwajung(2015)-Lee Yeon Hee
•Jang Ok Jung(2013)-Kim Tae Hee
•Flower In Prison(2016)-Jin Se Yeon
•Iron Empress(2008)-Chae Shi Ra
•Queen Seon Deok(2009)-Lee Yo Won
•Red Sky(2021)-Kim Yoo Jung
jewel in the palace ya mapishi mapishi ilikua kali sana pale ITV
 
The King of Tears Lee Bang Won [emoji1487][emoji1487]
Nimenyoosha mikono juu, kwa miaka mingi nimekuwa nikiitafuta drama ya historical kali ya miaka ya hivi karibuni, naweza sema ndio hii niliyokuwa nikiitafuta!
Bhaaaaaaasssssss
 
Wazee wa kitonga pakueni vpn force ni kwa Tigo speed kali

Screenshot_20220322-131322.png
 
The King of Tears Lee Bang Won [emoji1487][emoji1487]
Nimenyoosha mikono juu, kwa miaka mingi nimekuwa nikiitafuta drama ya historical kali ya miaka ya hivi karibuni, naweza sema ndio hii niliyokuwa nikiitafuta!
Bhaaaaaaasssssss
Hiiiiiih jamani au ni lile swala langu la kukata tamaa baada ya kuona episode moja au mbili?

Hii series nimangalia mwisho apisode mbili nikaona kama imepooza sana nikaicha tena ni juzi tu, wewe unanitia tena mshawasha wakutaka kurejea tena.
 
Back
Top Bottom