Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hatujazoea Wakorea kuwa na scenes chafu kwenye drama zao tofauti na kwenye filamu zao au Wazungu.

Kwa mfano Frozen Flower hivi zile scenes huwa wanafanya kweli ama kutuzuga tu maana zipo real sana?
Na mimi niongezee swali, hivi zile kiss scenes ni kweli wanakiss kweli au kuna namna wanafanya?
 
Back
Top Bottom