Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Numby mbona niliona ipo trailer tukissiassian
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Numby mbona niliona ipo trailer tukissiassian
Numby mbona niliona ipo trailer tu
Hii My Liberation Notes ni tamu hadi naionea ubahili kuitazama[emoji1787][emoji1787] ifuatiwe na our blues uwii
Hii Bloody heart ni tamu sana, sema ndo shida ya kufatilia ONGOING.
Five Enough sijaiona Kimoi wala Nkiri..mnapakulia wapiBallad of seo dong navuta tu bila kuangalia kama nzuri ama la. Nitapambana nikianza kuangalia
Weekend tamu ndani ya five children a.k.a five enough
Five Enough sijaiona Kimoi wala Nkiri..mnapakulia wapi
Hii Our Gab Soon nzuri sana ila dah pisi kama Gab Soon adimu sana.Kuna wamama wanajua kuudhi jamani ukitaka ukereke mpaka kutaka kuingia kwenye drama husika uumpe mabango yake mama mjengo Angalia Our Gab Soon(family drama)
Huyu mama kauvaa uhusika halisi wa watu wabishiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]neno lake ndo sheria
Hii Our Gab Soon nzuri sana ila dah pisi kama Gab Soon adimu sana.
Asante nimefanikiwaKimoitv
ukitaka uipate drama yoyote kirahisi kule kimoitv,(search kupitia google)
nenda google kisha type jina la drama malizia na kimoitv
.Mfano five children kimoitv kisha search yatakuja matoleo kibao la kwanza linakua kutoka kimoitv
Mimi huwa siwezi kabisa kufatilia tamthilia kupitia channels, ni either iwe iwe ni kwenye simu au PC.Startimes wanaonyesha My golden life nashangaa watu wanasema hawaielewi daah kweli watu tunatofautiana
Startimes wanaonyesha My golden life nashangaa watu wanasema hawaielewi daah kweli watu tunatofautiana
Mimi huwa siwezi kabisa kufatilia tamthilia kupitia channels, ni either iwe iwe ni kwenye simu au PC.
Majibu yote ni sawa😂Utakua team peleka mbele hasa pale panapoenda taratibu au team kosa uvumilivu yaani episode hii uione leo ile uione wiki ijayo😂😂😂😂.
Wametafsiri, ile ya kuingiza sauti. Sema wakorea wakiingiziwa sauti hawanogi wala...raha ya drama ya kikorea usikie kikoreaItakua wanataka ya kutafsiriwa. Nilishawahi kuombwa na mtu nimvutie vagabond ile nimemuwekea kwenye flash kwenda kuangalia nikaanza kupata lawama mbona haijatafsiriwa kiswahili.
Wametafsiri, ile ya kuingiza sauti. Sema wakorea wakiingiziwa sauti hawanogi wala...raha ya drama ya kikorea usikie kikorea
lugha asilia is the bestWametafsiri, ile ya kuingiza sauti. Sema wakorea wakiingiziwa sauti hawanogi wala...raha ya drama ya kikorea usikie kikorea