Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kuna wamama wanajua kuudhi jamani ukitaka ukereke mpaka kutaka kuingia kwenye drama husika uumpe mabango yake mama mjengo Angalia Our Gab Soon(family drama)

Huyu mama kauvaa uhusika halisi wa watu wabishiii😂😂😂😂neno lake ndo sheria
 
Kuna wamama wanajua kuudhi jamani ukitaka ukereke mpaka kutaka kuingia kwenye drama husika uumpe mabango yake mama mjengo Angalia Our Gab Soon(family drama)

Huyu mama kauvaa uhusika halisi wa watu wabishiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]neno lake ndo sheria
Hii Our Gab Soon nzuri sana ila dah pisi kama Gab Soon adimu sana.
 
Itakua wanataka ya kutafsiriwa. Nilishawahi kuombwa na mtu nimvutie vagabond ile nimemuwekea kwenye flash kwenda kuangalia nikaanza kupata lawama mbona haijatafsiriwa kiswahili.
Startimes wanaonyesha My golden life nashangaa watu wanasema hawaielewi daah kweli watu tunatofautiana
 
Itakua wanataka ya kutafsiriwa. Nilishawahi kuombwa na mtu nimvutie vagabond ile nimemuwekea kwenye flash kwenda kuangalia nikaanza kupata lawama mbona haijatafsiriwa kiswahili.
Wametafsiri, ile ya kuingiza sauti. Sema wakorea wakiingiziwa sauti hawanogi wala...raha ya drama ya kikorea usikie kikorea
 
Back
Top Bottom