Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2400605
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2400605
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] humu wapenzi wa aina hiyo tupo wachache...ngoja na mimi niiweke kwenye list
Inaitwaje hii
[emoji1787][emoji1787] how is that possible
Siri za ivo bora abaki nayo, unaweza banwa pumzi kila ukifikiria
Giant drama?
View attachment 2399821
Nadhani ni hii aliyokuwa akiitafuta, hili ni bonge moja la drama kulingana na story yake ilivyosukwa.
Nyingine ni EAST OF EDEN.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ADAMAS hii
Labda itakua "I can hear your voice?"
zinamuhamasisha farasi kukimbia au zinamuongezea mzuka muendesha farasi?Mimi nahisi zile kelele zinamhamasisha farasi kukimbia na hiyo ooohhhh ni ya kumwambia asimame
kwamba speed ya farasi huongezwa kwa njia ya sautiInaongeza mzuka wa kumkimbiza zaidi😂😂😂😂😂😂
huenda hujaangalia madude ya kibabeMpaka sasa sijapata mpinzani wa SIX FLYING DRAGON
the king of legend drama- king geunchogo dramaKuna movie inaitwa Baekje ni shida aisee
Natafuta hizi series
My love is from another star ya mwaka 2013
nilipokuwa naifuatilia kila wiki ulikuwa wapi?Kumbe Why Her ni moto na mmefanya siriii!
Ila ndo kwanza nipo ep ya tatu[emoji3]
karibu tena ITAEWONEwaaaa, shukrani sana mkuu[emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]
huenda hujaangalia madude ya kibabe
tafuta age of warriors drama, ukimkuta handsome humo ndani nakulipia gharama zako zote za bando
humo ni mwendo wa kupinduana, wenyewe wanaziita nyakati mbaya za taifa la goryeo kabla ya uvamizi wa Mongolia
View attachment 2400873